Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.
Ndiye ndiye aliekua mshauri mkuu WA papa Francis aliefariki, na wakatoriki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokua akitoka kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.
Na kwa kuzingatia msimamo thabiti WA papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.
Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kabisa katoriki tumepigwa tena.
KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.
Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.
TUMEKAMATIKA TENA😢
Ushaambiwa ndiye alikua mshauri mkuu WA papa Francis, Hata ajenda za ushoga alizokua alizitamka Kila mara, tunapaswa kuamini aliemshauri ni yeye.Too early to judge him. Alikuwa anafanya kazi chini ya Pope Francis. Hakuwa na agenda zake binafsi
Hili kanisa kubwa la mitume ni taaaabuKwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.
Ndiye ndiye aliekua mshauri mkuu WA papa Francis aliefariki, na wakatoriki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokua akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.
Na kwa kuzingatia msimamo thabiti WA papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.
Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.
KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.
Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.
TUMEKAMATIKA TENA😢
Hufikiri kwamba pengine ni Mungu Ndiye aliyemweka hapo?Kwa kuangalia cv ya papa mpya, Cardinali Robert provost Toka marekani.
Ndiye ndiye aliekua mshauri mkuu WA papa Francis aliefariki, na wakatoriki duniani kote tunakumbuka vema papa Francis aliefariki alivokua akitoa kauli tata Sana kuhusu ajenda zinazohusu mashoga na ushoga kiujumla.
Na kwa kuzingatia msimamo thabiti WA papa aliefariki kwenye ajenda hizo, Basi Tutajua kabisa mshauri wake mkuu alikua ni mtu namna gani, ukzingatia marekani (atokako) majimbo mengi ishu za mashoga na ushoga vimeruhusiwa rasmi.
Binafsi Kama mkatoriki mzalendo, baada ya uchaguzi huu nafasi yangu imekosa Nuru kabisa, na Moja Kwa Moja najua hapa, kanisa katoriki Africa tumepigwa tena.
KIUHALISIA,
Huyu papa LEO XIV Anakuja Kuendeleza alikoishia papa Francis aliefariki, yaani kuhalalisha Ushoga na kubariki mashoga.
Nimeamini, Masupa pawa (maboss WA New world order) wakishaamua jambo lao, ni ngumu Sana sisi (shit hole countries) kuchomoka.
TUMEKAMATIKA TENA😢
Ushaambiwa ndiye alikua mshauri mkuu WA papa Francis, Hata ajenda za ushoga alizokua alizitamka Kila mara, tunapaswa kuamini aliemshauri ni yeye.
Maana hakuwai kujiuzulu wadhfa wake (Kama mshauri mkuu) Wala kuzikemea Kwa cheo chake kingine (Kama kiongozi mkuu wa makardinari)
Njoo uvae abaya,achana na wahuni wanaojipa utakatifu wakati Wana dhambi kedekede,papa aliyefariki alikua baunsa wa night club huko Bueno saires argentina,akaleta mambo ya night club vatican kwa kushajiisha uchokoYule papa alikua anaboa sana kauli zake, huyu nae akifata nyayo mshumaa uzime tu kwakweli.....inakera
Sikuwa namusoma kabisa yule mzee. Ila nilipogundua aliingia kwa magumashi, nikaamua nikae kimya.Yule papa alikua anaboa sana kauli zake, huyu nae akifata nyayo mshumaa uzime tu kwakweli.....inakera
Njoo uvae abaya,achana na wahuni wanaojipa utakatifu wakati Wana dhambi kedekede,papa aliyefariki alikua baunsa wa night club huko Bueno saires argentina,akaleta mambo ya night club vatican kwa kushajiisha uchoko
Ndiyo,ntamnunulia,huku kwenye abaya hakuna kuhalalisha usenge,wote ni binadam hakuna mtakatifuAbaya hizi hizi u nyingine? Maana Magomeni zimejaa kibao
Nigga!!?..hamjawajua tu watu weupe,nyi changeni (sadaka) wapelekeeni waleYule nigga wamemtema
Nivae abaya means??Njoo uvae abaya,achana na wahuni wanaojipa utakatifu wakati Wana dhambi kedekede,papa aliyefariki alikua baunsa wa night club huko Bueno saires argentina,akaleta mambo ya night club vatican kwa kushajiisha uchoko
Hataki mpewe haki yenuYule papa alikua anaboa sana kauli zake, huyu nae akifata nyayo mshumaa uzime tu kwakweli.....inakera
Mungu kwa mtazamo upi!?.. maana wengine Mungu wao yesu, ng'ombeNivae abaya means??
Dini zote ubatili mtupu
Uhusino mzuri na Mungu ndio kitu muhimu 🙏