Papa Francis atoroka Vatican usiku

Nani huwa anampa ruhusa ya kutoka na kwanini leo anyimwe?
 

Huyu Dada ni mtata sana.Nafikiri anajiandaa kwenda kuolewa na Wanaume Marijali 70 Peponi
 
kwanza wangembadilisha jina hili jina la PAPA halina maana nzuri kabisa....inawezekana hata anapotoka usiku unaenda kulitafuta jina PAPA lina maana gani
 
sawa,kila mtu atavuna alichopanda.mwacheni airidhishe nafsi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…