Very dangerous. Anaweza kutekwa au kukumbwa na kashfa. Pili mimi sio muumini sana wa kutoa misaada kwa maskini. Tushughulikie matatizo yanayosababisha watu kuwa maskini hasa umaskini wa kulazimishwa. Sina uhakika kama Vatican kuna vijiji. Ni nchi ya wakazi kama 1000 fu
Hivi ni lini tutaheshimu dini sisizo zetu?
Hata Yesu aliwatoroka sana wanafunzi wake mpaka siku moja wakati wanamtafuta wakamkuta kisimani na yule mama msamaria na inaonekana wanafunzi wali- doubt kwamba alikua anamuimbisha yule mama
Hapo unaji "contradict" na habari iliyopo post #1 :
Kwanza usome mada na kuielewa. Mwandishi ameeleza historia ya huyu Papa alipokuwa askofu Mkuu na kardinali huko Ajentina alikuwa na mazoea ya kwenda vijijini akiambatana na msaidizi wake kwenda kutoa misaada kwa maskini nk. Huko Rome alienda mitaani kutoa misaada kwa maskini. Jadili na kutoa hoja kwa uelewa wa kuelewa ulichokisoma si kudandia maana mambo mengine huyajui, na kama huyajui tuulize tunaojua tukufahamishe badala ya kuvimbishia mishipa kitu usichokijua.
Wacha uongo, kafute na sentensi hii kama unataka iwe kama wewe utakavyo. "kuwapa misaada maskini maeneo ya vijiji, mjini Vatican."
Vatican iko Ajentina?
Ni kweli kabisa anasaidia masikini usiku, wakati wa kulala! hilo wala silipingi. Ndivyo Ilivyo.
We Bibilia unasoma au umehadithiwa?
Vipi kwani? hujui kuwa Italy mchezo wa kuchezea mipira usiku ni maarufu kwa walala hoi.
Kama unabisha waulize waliopo Italia, Garden zote usiku watu wanachezea mipira.
Mi naona itakuwa michezo km ile ya Saudia na Oman
Ukitaka kumsoma mtu udhaifu wake angalia mwelekeo wake anakoelekeza mada hata kama haiongelei maudhui hayo ni dalili tosha yu dhaifu ya anachojaribu kutushawishi kwa vile kama ni mpishi kila muongeleachoa hatakosa kugusa mapishi, ndicho anachokijadili FaizaFox.Saudia na Oman kucheza mipira usiku ni very popular kwani huko mchana ni joto kali sana. Wala sikupingi kwa hilo.
Sasa fikiri kibaridi cha Europe mwezi huu kilivyo kikali, kuchezea mipira usiku kunanoga kweli.
We Bibilia unasoma au umehadithiwa?
Mi naona itakuwa michezo km ile ya Saudia na Oman
hahahaha swali muhimu sana ila funny!!kweli huyu kahadithiwa
Ukitaka kumsoma mtu udhaifu wake angalia mwelekeo wake anakoelekeza mada hata kama haiongelei maudhui hayo ni dalili tosha yu dhaifu ya anachojaribu kutushawishi kwa vile kama ni mpishi kila muongeleachoa hatakosa kugusa mapishi, ndicho anachokijadili FaizaFox.
Sababu hukijui tunachokijadili, we unadandia hoja, na mambo ya ndani ya nyuma isiyo yako utabaki kuhangaika nayo kwa vile ni yao hayakuhusu na hutayaelewa, utabaki kuumiza kichwa kwa mambao yasiyokuhusu na kutoyaelewa. Wenye kuyafahamu na kuyaelewa ni wale waliomo ndani ya nyumba yao.Soma post vizuri ujuwe zinajibu nini, wacha papara. Naona umeanza kujifunza kuandika ipasavyo. Taratibu tutafika.
ngojeni kama haijaja habari kuwa anaendaga club kujirusha basi watoto wa vatican wapo kwenye wakati mgumu kama yale mambo ya seya wa mivalo