Papa Francis aomba radhi kwa kumpiga kibao Mwanamke aliyemvuta mkono wakati akisalimia watu Usiku wa Mwaka Mpya

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Dunia, Papa Francis (83) jana ameomba radhi kwa kupiga kibao Mwanamke aliyemvuta mkono wakati akisalimia watu katika Usiku wa Mwaka Mpya

Kabla ya Misa ya Mwaka Mpya, Papa amesema, "Tunapoteza uvumilivu muda mwingine. Imetokea kwangu. Naomba msamaha kwa mfano mbaya nilioutoa jana."

Kiongozi huyo aliendelea na kusalimia watu baada ya tukio hilo huku akiweka umbali fulani baina yake na Waumini hao walikowa wamekusanyika katika eneo la 'Saint Peter's square'

=========

Pope Francis apologised Wednesday for his widely-viewed slap of a woman who had grabbed his hand as he greeted Catholic faithful on New Year's Eve.

The image of Francis slapping his way free from the clutches of the admirer was an instant hit on social media.

A personal apology followed.

"We lose patience many times," Francis confessed.

"It happens to me too. I apologise for the bad example given yesterday," the head of the Catholic church said before celebrating Mass at the Vatican.

Twitter enthusiasts commented with abandon on the pontiff's prompt riposte to the woman.

Francis had greeted children before the Nativity scene on Saint Peter's square and was turning away when the woman who had crossed herself then cried out something, pulled on his hand and almost caused him to fall.

The 83-year-old pope grimaced before managing to break free by slapping her hand twice.

He continued his tour, walking with some difficulty while maintaining a slightly greater distance from visitors, and gradually relaxed again as he came into contact with other children.

Twitter comments were mostly supportive of the pontiff's instinctive reaction.

"HE IS HUMAN.. Been (sic) a Pope doesn't make you immune to Pain or avoid Reaction to pain," one typical comment read.

In his first Mass of the New Year, the pontiff later denounced "all violence against women" as "a profanation of God, born of a woman."

Francis also said women were "the source of life" but deplored that they were constantly "offended, beaten, abused and forced into prostitution" and forced to "supress the life they carry within" them.

He emphasised that the "rebirth of humanity began with a woman," and bemoaned that women's bodies were "sacrificed on the profane altars of advertising, profit, pornography."

Chanzo: Financial Express
 
Mnakuza tu mambo m sijaona cha ajabu hapo.
Maadui wa ukatoliki utayatambua tu.
Kikitu kadogo tu yamepata sababu ya kuonyesha chuki zao kwa kanisa katoliki
Mind your own businesses mnakera sana.

God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
Unataka kusema papa hakumpiga kibao huyo mama au!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnakuza tu mambo m sijaona cha ajabu hapo.
Maadui wa ukatoliki utayatambua tu.
Kikitu kadogo tu yamepata sababu ya kuonyesha chuki zao kwa kanisa katoliki
Mind your own businesses mnakera sana.

God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
Hebu kuwa mtu positive kidogo, achana na huu upuuzi wa imani za kuletewa.Media zote duniani zimesema hivyo hivyo,sasa shida iko wapi?.Unafikiri papa ni Mungu hata asikosee?. Hivi huu ujinga sisi waafrika mpaka lini?.Waliotuletea dini zenyewe sasa hivi hawana mpango nazo.Tuamke Afrika.Tumeshakuwa mateka,sasa yatosha.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Mh nikajua alimlamba vya uso kumbe aliupush mkono wake tu! Angekuwa MbS huyo mmama nyama zingerudi kwenye viroba na kaburi lake lisingejulikana milele. Papa ni mstaarabu sana ila pia hakuwa na sababu ya kuomba msamaha kijitukio kama kile.
 
Hebu kuwa mtu positive kidogo, achana na huu upuuzi wa imani za kuletewa.Media zote duniani zimesema hivyo hivyo,sasa shida iko wapi?.Unafikiri papa ni Mungu hata asikosee?. Hivi huu ujinga sisi waafrika mpaka lini?.Waliotuletea dini zenyewe sasa hivi hawana mpango nazo.Tuamke Afrika.Tumeshakuwa mateka,sasa yatosha.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Mkuu afrika tumeletewa na bado tunazidi kuletewa vitu hata hicho kifaa unachotumia kuingia humu JF ni moja ya vitu tunavyoletewa afrika.
 
Hebu kuwa mtu positive kidogo, achana na huu upuuzi wa imani za kuletewa.Media zote duniani zimesema hivyo hivyo,sasa shida iko wapi?.Unafikiri papa ni Mungu hata asikosee?. Hivi huu ujinga sisi waafrika mpaka lini?.Waliotuletea dini zenyewe sasa hivi hawana mpango nazo.Tuamke Afrika.Tumeshakuwa mateka,sasa yatosha.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Ukadhani mm n mfia dini?
Je ulishawahi kupigwa kofi?
Kwa mawazo yangu alimsukuma kidogo tu yule mama kuonyesha hakupendezwa kuvutwa mkono kwa muda mrefu.

God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
 
Papa ni binadamu, huyu mama alimshika papa kwa nguvu kidogo na kumvuta hali iliyomfanya papa akose balance hasa ukizingatia umri, na kupepesuka, alitumia nguvu kujinasua na sijaona kofi/kibao chochote alichompiga huyo mama
 
Mnakuza tu mambo m sijaona cha ajabu hapo.
Maadui wa ukatoliki utayatambua tu.
Kikitu kadogo tu yamepata sababu ya kuonyesha chuki zao kwa kanisa katoliki
Mind your own businesses mnakera sana.

God doesn't require us to succeed,he only requires that you try
mbona hakuna aliyekuza mkuu, ameomba msamaha kwa makosa aliyokubali kuwa ameyafanya.
 
Hebu kuwa mtu positive kidogo, achana na huu upuuzi wa imani za kuletewa.Media zote duniani zimesema hivyo hivyo,sasa shida iko wapi?.Unafikiri papa ni Mungu hata asikosee?. Hivi huu ujinga sisi waafrika mpaka lini?.Waliotuletea dini zenyewe sasa hivi hawana mpango nazo.Tuamke Afrika.Tumeshakuwa mateka,sasa yatosha.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
Unless kuna video tofauti na hii iliyowekwa hapa, ila kama ni hii hizo media nazo zina tatizo, wewe binafsi hiyo video umeona mtu akipigwa kofi au kibao ? Tuwe wakweli
 
Back
Top Bottom