Papa Francis amesema Trump sio Mkristo

Papa Francis amesema Trump sio Mkristo

Mi simpendi kwanza tangu nisome quote take uliyosema Africans they are lazy good for eating and sex
Kwani uongo?
Sema hiv jamaa anaongea ukweli wote japo kuna ukweli mwingine husababisha chuki
 
Huyo jamaa kumuelewa inataka uwe na akiri kubwa, anasema mambo ya msingi. Mimi nampenda anasema ukweli juu ya viongozi wa jinga wa Africa
 
Trumph, alisema atawapiga ban waislam kuingia US....... Being a president is a serious job, not a serious joke.
 
Hukumbuki Obama na mbwembwe zake za kufunga Guantanamo!! Miaka 8 imeisha mbona kimyaa iko pale. Urais wa USA unawekwa na watu hao ndio wanaongoza . hizi nyingine ni mbwembwe tu

Mkuu upo sahihi kabisa sio kwa JPM.
 
Trumph, alisema atawapiga ban waislam kuingia US....... Being a president is a serious job, not a serious joke.
Tatizo ni terrorism. Wakati wa kung'ata maneno umekwisha, Trump anachana tu. Sasa ama waislamu wabadili mtazamo wa jamii dhidi yao, au Trump abadili sera ya Marekani dhidi ya uislamu
 
Trump sio mnafiki kama wazungu wengine wanaopretend wanaipenda Africa na arab world. Anachozungumza Trump ndicho kilichopo ktk mioyo ya wazungu wengi sema tu hawawezi kusema
 
Back
Top Bottom