Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,283
- 4,556
Ni ukweli kaka. Kama una jamaa yako unamfahamu ni padre, mwulize. Ndivyo wanavyoapa.
Ndugu yangu, leo umeamua kumwaga pumba bila sababu!!!! teh teh teh teh....
Ni ukweli kaka. Kama una jamaa yako unamfahamu ni padre, mwulize. Ndivyo wanavyoapa.
Ni ukweli kaka. Kama una jamaa yako unamfahamu ni padre, mwulize. Ndivyo wanavyoapa.
Interesting. Yaani askofu bado yuko shule. Sasa atafanya uaskofu au itabidi aahirishe hiyo masters degree. Mapadre hawaeleweki, msishangae akaamriwa na mkuu wake kuwa aache shule, maana nasikia huko kwa wakatoliki ukishakuwa padre unasarenda akili na utashi wako wote kwa mkuu wako!
Acha kuargue kwa vitu usivyovijua bana. Unafikiri anasoma kwa siri? Mambo ya Kanisa yanaenda kwa mipangilio na wamehakikisha shule atamaliza na appoitment hiyo haitaathiri shule yake hata kidogo. Unajua ni kwanini wameteuliwa wawili? Unajua nani kamtuma asome hiyo shule na kwanini aamriwe aache, kwa manufaa ya nani? what about costs ambazo walishaincur ktk shule hiyo? Mambo yote hayo yapo ktk planning bana,acha story za kijiweni ktk masuala ya Kanisa.
Hongereni wateuliwa tunawatakia kazi njema!
Hata miezi miwili haijapita tangu kuhamishwa kwa askofu Methodius Kilaini kwenda kuwa askofu msaidizi wa Bukoba, Papa Benedict XVI amewateua mapadri wawili kuwa maaskofu wasaidizi wa jimbo kuu la DSalaam. Wawili hao ni Padri Salutaris Libena na Padri Eusebius Nzigilwa.
Wakati askofu Kilaini alikuwa na Phd. Sasa jimbo limempata professa kwani mmoja wa hao watakaokuwa maaskofu wasaidizi ni Professa (Padri) Salutaris Libena ambaye kabla ya uteuzi huu alikuwa na ni mhadhiri kwenye seminari kuu ya Kipalapala iliyoko nje ya mji wa Tabora. Vilevile alikuwa mkurugenzi wa kiroho au spiritual director wa seminari hiyo. Yeye (Libena) alikuwa ni padri wa jimbo la Mahenge kule kwa askofu Ndorobho nadhani na nimzaliwa wa Itete.
Mwenzake Padri Eusebius Nzigilwa ni padri wa jimbo la DSalaam na ni mzaliwa wa Mwanza na amewahi kuwa rector wa seminary ndogo ya Visiga iliyoko mkoa wa Pwani karibu na Kongowe.
Hivyo jimbo kuu la DSalaam sasa linakuwa na maaskofu watatu yaani Kadinali Polycarp Pengo na hawa wasaidizi wake wawili. Aliondoka mmoja yaani Kilaini sasa wameletwa wawili kwa mpigo.
Chanzo: RADIO TUMAINI
Interesting. Yaani askofu bado yuko shule. Sasa atafanya uaskofu au itabidi aahirishe hiyo masters degree. Mapadre hawaeleweki, msishangae akaamriwa na mkuu wake kuwa aache shule, maana nasikia huko kwa wakatoliki ukishakuwa padre unasarenda akili na utashi wako wote kwa mkuu wako!
Mapadre wengi wa kikatoliki wanasoma sana wakiwa mapadre, nenda UDSM, Open, Ardhi, SUA na vinginevyo hukosi mapadre kibao wanasoma!
ebana ee tumsifu yesu kristunakumbuka wakati
tunajadili suala la askofu kilaini kwenda bk hapa jf, wengi walihoji
iweje apelekwe bukoba amako si hata jimbo kuu kwa qualification na
experience aliyonayo? Tukapata majibu kwamba kanisa katoliki aliendeshwi
kisiasa/kidunia zaidi. Wana taratibu zao na kanuni zao kwamba kondoo wa
bwana wanaweza kuchungwa popote pale, na mchungaji hachagui wapi yalipo
malisho!
Hili limejithibitisha kwa kummteua fr. Nzigilwa ambaye ndio kwanza
anaitafuta masters degree! Wangapi wenye elimu zaidi ya hiyo
wameachwa?
Wow hongera Padre Libena...you deserve it....MUNGU ambariki sana na ampe mafanikio mema katika kazi zake mpya.
Kweli mkuu, kuna mmoja alikuwa mlezi wa sekondari niliposoma, mwaka jana nilimuona Bugando anasoma udaktari! Wakatoliki na elimu dunia, yaani mtu ni askofu na ni mhandisi!
Kuna mmoja ameliza Degree yake ya Actecture hapo Ardhi...