Papa aingia Twitter rasmi

Papa aingia Twitter rasmi

Hapo tutaendeleza mjadala,sina biblia yangu hapa karibu lakini kilichosemwa ni chochote utakachokifungua duniani kimefunguliwa mbinguni na chochote utakachokifunga na mbinguni kimefungwa,na sikuona kama alipewa mamlaka ya kubariki...
Nitakapokuwa na bibilia yangu nitakutafutia huo mstari ambao nina uhakika unaujua ..

Acha ubishi hebu jifunze kwanza maana ya kubariki then ubishe!
 
Aibarikie Israeli..........???? Ailaanie Israeli........???
 
Hapo tutaendeleza mjadala,sina biblia yangu hapa karibu lakini kilichosemwa ni chochote utakachokifungua duniani kimefunguliwa mbinguni na chochote utakachokifunga na mbinguni kimefungwa,na sikuona kama alipewa mamlaka ya kubariki...
Nitakapokuwa na bibilia yangu nitakutafutia huo mstari ambao nina uhakika unaujua ..

Sasa bado unabisha nini au mwenzetu una idea nyingine inayokufanya upingane na maneno yako?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom