kulwa ngwembe
Member
- Oct 17, 2016
- 25
- 5
Hii nchi tumeringwa na Nani?[emoji51][emoji51]Kwa mujibu wa taarifa za kiintelijensia nilizopenyezewa na raia wema ni kwamba genge hatarishi la Panya Road limefanya uhalifu usiku huu katika maeneo ya Chamazi (Jimbo la Mbagala) na sasa wamekusanyika karibu na eneo la chuo cha afya cha Muhimbili lililopo Chamazi, wakilenga kuendelea na uhalifu wao kama kawaida. Hivi sasa wananchi wako roho juu wakihimizana kufunga milango ya nyumba zao na kuepuka kutoka nje ili kujilinda na uhalifu wa genge hili la kimafia linalozidi kutikisa jiji la Dar es Salaam siku hadi siku.
Nimeuweka uzi huu hapa kwa makusudi. Panya Road wametufikisha hapa baada ya kushindwa kudhibitiwa kikamilifu na vyombo vya ulinzi.
Tutapeana taarifa baadaye kadri ninavyozipata kutoka eneo la tukio. Wananchi wanaishi kwa hofu kubwa kufuatia kundi hili linalojibadilisha kila kukicha kutoka genge la wahalifu na kuwa kundi la kigaidi. Serikali inapaswa kuchukua hatua kuwalinda raia na mali zao na ikibidi wananchi wamilikishwe silaha nzito kwa ajili ya kujilinda wao wenyewe na mali zao. Kuna haja ya kuanzisha mafunzo ya lazima ya kijeshi kwa wananchi ili kuwajengea uwezo wa kujilinda.

Umesahau shangazi yako anaishi huko kwa walalahoi?Wanavamia Mitaa ya walalahoi tu, waje huku Mitaa ya Miande waone cha moto
Ulinzi shirikishi ulipigwa marufuku kuumkuu, lakini nadhani pia tangu polisi walipoacha kukaa vituoni usiku kundi hili limepata kasi ya kuendelea kuwatesa raia na kuwanyima raha kabisa. serikali inapaswa kufikiria upya uamuzi wake wa kufunga vituo ili polisi wachache waliopo washirikiane na wananchi kutokomeza kundi hili la kigaidi.
kumbuka ulinzi shirikishi ulipigwa marufukuNanyi si mujiorganize na mujiite paka road af munawasaka mpk kieleweke... Kila raia ni mlinzi kwa nafasi yake
Sasa mwanaukawa mwenzangu mzunguko wa hela na watoto wa miaka 13-17 wapi na wapiMzunguko mdogo wa hela mitaani ni moja ya kichocheo cha matukio haya.
Kwa mtazamo wangu,hawa ni vijana waliokata tamaa ya maisha na wako tayari kwa lolote kwani wanaona hawana cha kupoteza.
Kwahiyo uko eneo la tukio ama uongo ni upi?Hatutaki waishe ila wakichomwa wawili watatu watatia adabu,hutasikia hzo karaha tena za hivyo vitoto vihuni
Hyo ni mob physcology tu hawana lolote
Wanamme wa dsm mna matatizo. Ninyi ndo mnaishi nao lkn unataka vyombo vya ulinzi viwabaini. Kwa nini usihamasishe jamii kushikamana na kushirikiana na vyombo vya dola?Kwa mujibu wa taarifa za kiintelijensia nilizopenyezewa na raia wema ni kwamba genge hatarishi la Panya Road limefanya uhalifu usiku huu katika maeneo ya Chamazi (Jimbo la Mbagala) na sasa wamekusanyika karibu na eneo la chuo cha afya cha Muhimbili lililopo Chamazi, wakilenga kuendelea na uhalifu wao kama kawaida. Hivi sasa wananchi wako roho juu wakihimizana kufunga milango ya nyumba zao na kuepuka kutoka nje ili kujilinda na uhalifu wa genge hili la kimafia linalozidi kutikisa jiji la Dar es Salaam siku hadi siku.
Nimeuweka uzi huu hapa kwa makusudi. Panya Road wametufikisha hapa baada ya kushindwa kudhibitiwa kikamilifu na vyombo vya ulinzi.
Tutapeana taarifa baadaye kadri ninavyozipata kutoka eneo la tukio. Wananchi wanaishi kwa hofu kubwa kufuatia kundi hili linalojibadilisha kila kukicha kutoka genge la wahalifu na kuwa kundi la kigaidi. Serikali inapaswa kuchukua hatua kuwalinda raia na mali zao na ikibidi wananchi wamilikishwe silaha nzito kwa ajili ya kujilinda wao wenyewe na mali zao. Kuna haja ya kuanzisha mafunzo ya lazima ya kijeshi kwa wananchi ili kuwajengea uwezo wa kujilinda.
Wewe utakuwa jambazi unayetafta kuhalalisha ujambazi wako. Yaani umilikishwe silaha? Zipi kwanza? Maana kama ni shortgun, pistol, sime, panga, kisu, ni vitu ambavyo ni ruksa kuvimiliki.Ni kweli. Hili kundi hata sijui limeibukaje wakati Dar ilikuwa imenza kuwa tulivu. Serikali inapaswa kuwapa wananchi mafunzo ya kijeshi na kuwamilikisha silaha kwa ajili ya kujilinda na makundi ya kipuuzi kama hili la Panya Road.
na hili ndilo ninalopendekeza....kwamba serikali iwekeze kuwapa mafunzo ya kijeshi raia wake kwa lazima na kisha kuwamilikisha silaha ili wajilinde wenyewe...hakuna jinsi....maana polisi wameelekezwa na wakubwa wao ikifika saa 12 jioni wafunge vituo warejee makwao. sasa raia tutajilindaje ilhali hatuna mafunzo ya kivita na wala hatuna silaha? mimi naona ianzishwe JKT mpya ambayo raia wote wenye umri zaidi ya miaka 18 waende wakajifunze mbinu za kujilinda kwa kutumia silaha. kila raia akimilikiswa silaha hawa mbwa wanaojiita panya road hawakatizi mitaa bila kupasuliwa vichwa.Kamanda Sirro vipi? Watu wanaishi kwa hofu kama wako vitani? Itafika kipindi wananchi watachukua Sheria mkononi halafu muanze kulaumu wakati waliopewa dhamana ya kulinda na kuhakikisha usalama wa wananchi wameshindwa kutimiza majukumu yao. Panya road hawajaanza jana wala juzi, hadi tabata walisumbua sana kipindi cha nyuma. Kama mnaona Jeshi la Polisi limeshindwa ruhusuni raia wajilinde wenyewe.
mkuu sijakuelewa bado. wewe unataka tumilikishwe silaha za jadi badala ya kumilikishwa silaha nzito? hujui kuwa panya road wanatumia silaha za jadi kuwadhuru raia?Wewe utakuwa jambazi unayetafta kuhalalisha ujambazi wako. Yaani umilikishwe silaha? Zipi kwanza? Maana kama ni shortgun, pistol, sime, panga, kisu, ni vitu ambavyo ni ruksa kuvimiliki.
Bunduki zinahitaji utaratibu lkn silaha za jadi ni freee