miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,110
mtafanyia mazoezi miguu yenu ya kuku wanaogopaMkuu kwann huku mbezi beach hawaji? Huku si ndio kwa matajiri? Waje hapa tangi bovu kwa chini..tena huku hamna ujirani kila mtu na geti lake? Wakija ni kukata na kuiba tu...kwann wanaiba uswahilini ..? Nawakaribisha mbezi beach....huku kuna wanaume wa dar tu lege lege na watoto wa mama! (Kama wa mkoani wanavyosema)
Glock 17
Berretta
Pump Action
.45 colt
And so forth..
Karibuni tunawasubiri.
Huku ni matatizo badala ya yowe la wezi unaskia ratatataaaaaat pah pah,raha ukute na wao wamekuja na mapanga tunawaoa kabisamtafanyia mazoezi miguu yenu ya kuku wanaogopa
ha hahaha wanayajua hayoHuku ni matatizo badala ya yowe la wezi unaskia ratatataaaaaat pah pah,raha ukute na wao wamekuja na mapanga tunawaoa kabisa
Na kujisifu kuuwa majambazi Ila Vitoto hv vimewashindaAs usual panya road ...watoto WA mbwa na mmarekani mweusi Dar polis wamewashindwa over.....
Polis waendelee kupost Picha za silaa tuuu walizokamata
Ndo manake tunawaangalia tuu kimya kimyaNa kujisifu kuuwa majambazi Ila Vitoto hv vimewashinda
Polisi wanafanya kazi vizuri sana ikiwa kuna tip ya kweli,sasa humu majina feki,anuani feki,ingekua vizuri ungeripoti hata kanda maalum tuM
Mkuu hata humu jf kuna polisi wa kumwaga. Nina hakika ujumbe umeishawafikia.
Dawa yao imeshaiva wanasubiri dozi tu,Havitakiwi viwepo kabisa,sio kudumu au kutodumu mdau
Mkuu hao wamejiorganize na wanakuwa wengi mno... wanatumia advantage ya uwingi wao... ninavyofahamu hao wanajulikana wanapolala... ni machokoraa ambao wameamua kufanya mambo hayo.. ni aibu kwa hii nchi.pDar hivi kweli mmekosa hata wanaume kumi wa ukweli ambao wanaweza kuwa paka road kwaajili ya kuwakabili hao panya?....hebu siku moja mjitutumue muache kulalamika ovyo
Kama alivyofanya yule Raisimimi ningekuwa askari I swear ningeua hizo takataka zote... ili ni tatizo la kuchekeana.. tunaendekezana na kulea ugonjwa... kill them all. Rais Magufuli toa tamko hizi takataka zikionekana zinafanya uhalifu hakuna kupeleka mahakamani ni kuwamiminia njugu tu.
Acha kashfa na zarau weweWanavamia Mitaa ya walalahoi tu, waje huku Mitaa ya Miande waone cha moto
Binadamu watu wabaya Sana[emoji23][emoji23]Mzunguko mdogo wa hela mitaani ni moja ya kichocheo cha matukio haya.
Kwa mtazamo wangu,hawa ni vijana waliokata tamaa ya maisha na wako tayari kwa lolote kwani wanaona hawana cha kupoteza.