Wale vijana wapiga mapanga usiku maarufu kama panya Road wameibukia Bunju ambapo Jumamosi iliyopita walitinga Bunju B mitaa ya KIHONZILE na kuumiza watu zaidi ya 8 na kuiba vitu kadhaa zikiwepo TV na simu za mikononi na fedha.
Tukio hilo ambalo halikutangazwa popote kutokana na OCD wa Kawe kulifunika na hivyo wananchi kutopata habari na kujiweka ktk tahadhari limepelekea usiku wa kuamkia leo panya road wameibukia mitaa ya maarufu kama kwa Mama Munuo na kuendeleza ubabe huohuo.
Katika matukio yote mawili Polisi walipigiwa simu ila hawakupokea na pia Polisi wa dharura wanaokaa maeneo ya barabarani walipofuatwa hawakuwepo eneo hilo.
Tunaomba Serikali kupitia Bunge lake linalofanya vikao vyake kijini Dodoma kwa dharura wajadili kadhia hii siku ya leo na kupeleka askari wa kutosha eneo hilo.