MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 19,993
- 34,867
Polisi wako njia panda. Hawa madogo wanafahamika na ni wakorofi sana sana, manunda! Hawa kuwakamata na kuwapeleka mahakamani ni usumbufu maana raia pia hawana muda na hayo makesi.
Yuko askari aliniambia hao dawa yao ni chuma tu, wakitandikwa wa mfano wanaufyata huwasikii. Lakini sasa hivi maagizo ni wakamatwe na kufikishwa mahakamani hata kubinywa kidogo ni kinyume na haki za binadamu.
Shortly anasema raia mjipange na hao watu wenyewe, hata polisi wakiingilia watakimbia kwa muda watarejea siku nyingine!
Majuzi wamesumbua huko temeke kadhaa wakala chuma ikaleta kasheshe na watu wa haki za binadamu lakini palitulia. Polisi bila sisi raia tutawalaumu bure. Hata Bunju tafuta wakongwe wa ulinzi shirikishi wanajua mitaa yote yenye watoto wa kihuni.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app