Panya road waibukia Arusha

Capt Tamar

JF-Expert Member
Dec 15, 2011
11,747
14,649
Salaam wakuu,

Katika hali ya kushtusha leo mida ya saa moja nimepita eneo la Kilombero kuelekea barabara ya Fire na kushuhudia kundi la vijana wakiwa na silaha kama visu na mapanga wakiwa wametanda barabarani huku wakiwapora wapita njia na abiria waliokuwa kwenye magari pamoja na kuwajeruhi baadhi.

Leo barabara hiyo ilikuwa na foleni kubwa hivyo vijana hao bila chembe ya woga walivamia vi hiace vya abiria, magari binafsi pamoja na wapita njia, hali niliyoiona inatisha, nilikuwa kwenye kigari cha kazi na nilinusurika.

Tujipange ili hali hii isishamiri na kufikia ile ya wenzetu wa Dar tuliokuwa tunawashambulia kwa kuwaita wanaume wa Dar.
 
DAWA NI KUWAMALIZA TU HAWA PANYA ..CHOMA MOTO...TATIZO KWISHA...WAO HAWAWEZI ZIDI IDADI YA WANANCHI
 
Tutawachomoa magetoni mwao mmoja baada ya mungine hadi tuwamalize.
Wasitujaribu cc wanaume wa Atown
Wafanye michezo yao hiyo hukohuko kwa wanywa Supu ya pweza
 
DAWA NI KUWAMALIZA TU HAWA PANYA ..CHOMA MOTO...TATIZO KWISHA...WAO HAWAWEZI ZIDI IDADI YA WANANCHI
Kweli mkuu! Tatizo ni kuwa eneo walilo target almost kila mtu ni mpitaji tu,hakuna makazi ya watu na ni vigumu kwa watu kuji organize katika mazingira ya ghafla kiasi hicho!inabidi kila mtu ajihami kivyake! Ukizingatia siku hizi polisi hawatembei kwa miguu hata kwenye maeneo hatarishi kama hayo bali nao hujikunyata kwenye cruiser zao wakitega dili!
 
Tutawachomoa magetoni mwao mmoja baada ya mungine hadi tuwamalize.
Wasitujaribu cc wanaume wa Atown
Wafanye michezo yao hiyo hukohuko kwa wanywa Supu ya pweza
Ha ha ha shujaa wa mtandaoni...saa hizi upo uvungu wa kitanda unatetemeka kama vibrator ya Nokia 6610!
 
Mida hii wapo tabata kimanga, wamepora vibaya hapa, askari wamekuja wanapiga risasi hewani tu
 
Back
Top Bottom