Panya road waibukia Arusha

Panya road waibukia Arusha

Hivoo ni vichalii vya ngarinaroo na unga leloo..ukiona hivoo leo kulikuwa na kitu km shoo hv au tamasha hapo Shekhe amri abed ndo huwaga vinatokaga na muda wa kurudi ndo: vinafanyaga vitu km hivyoo
 
em vidhibitini visiwapande kichwani
 
Kamkoa ka arusha aise kadogo sana unaweza kukamaliza kwa for one hour.lakini kanavopambwa dah utafikiri jiji la mwanza au dar.
 
Back
Top Bottom