Kweli ffu walivyo na makeke wamefail kuwahandle
Every time nikiona thread ya panya road, watoto wa mbwa n.k huwa natoa wito kwa serikali iwachukue vijana wote wanaozagaa mijini iwapeleke JKT, wakalime. Baada ya miaka mitano, inawaachia wachache wache na kuwapa vinua migongo vyao waanze miradi ya uzalishaji. Hao vijana ndo wale wanaitwa 'bomu linalo subiri kulipuka' na hivyo ni bora wakafunzwa uzalendo ili wasilipuke kama wanavyoanza kuonyesha dalili.Hivi kamanda Gewe,Ntobi,Tosi wako wapi watunusuru na hawa panya road
Jamani Kova si alisema alishadhibiti hili kundi la hawa panya? Hawa panya wakisambaa nchi nzima itakuwa balaa, waangamizwe mapema vinginevyo tutakiona cha moto
Kutokuwa na ajira hata za kipato cha chin, plus unywaji wa pombe kali wakijumlisha na ugolo, bangi na mirungi na muda nwingi kukesha kwenye disco vumbi(vigodoro). Mi nadhani serikali izuie kwanza aina hii ya disco, pili ibuni miradi anbayo itaweza kuwaabsorb vijana wengi hata kama watawekwa katika kundi la unskilled labour ili waweze kuwa busy na uzalishaji na kujipatia chochote. Tanzania tuna maeneo mengi ambayo Ni uncultivated, tuweke sheria ambazo zitawabana wawekezaji katika swala la kuajili wazawa kwanza yote hata yatasaidia katika utokomezaji wa vikundi kama hivi pasipo kutumia nguvu nyingi sana.
Hivi kamanda Gewe,Ntobi,Tosi wako wapi watunusuru na hawa panya road
Serekali yetu ifanye kila liwalo iumalize UPUUZI huu na kuvikomesha kabisa kwani ni rahisi kwa vikundi hivi kuimarika vikaja toa upinzani wa kweli kwa jeshi letu la polisi, PLZ MWENYE FUNUNU YA LEO *"29/MAY"* KUHUSU WAPUUZI HAWA NA NYENDO ZAO