Panya noma jamani

hiyo inaitwa "panya fashion"
 
Maskini akivaa hivi watu watamdhania mwehu na kwa huyu bilionea itakuwaje?
 
Jamani tumekwisha role model wetu anatupa ujumbe gani sasa
 
Kuna jamaa humu ameshangaa eti kwanini Diamond anaingiza pesa nyingi sana alafu anaishiwa nguo kiasi hiki?[emoji24] [emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…