Panya ni Chakula cha Anasa sana Malawi.

Wanawaitaje wachewa au wayao wa huko?
 
Balaa ni pale mbongo unaenda hiyo sehemu na hiyo kitu hutumii then unaambiwa hakuna mboga nyingine tofauti na hiyo
 
Mi kumuangalia panya tu huwa napata kichefuchefu achilia mbali kumla
 
Basi hapo usishangae anaekula Panya akawa anamshangaa anaekula Kumbikumbi au Senene
 
Hapa Bongo waambie anaongeza nguvu za kiume uone balaa lake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…