Jeji JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,973 Reaction score 372 Aug 28, 2011 #1 panya alimkanyaga nyoka, mazungumzo yakawa hivii, nyoka: dogo vipi mbona unanikanyaga? panya: sorry brother bahati mbaya, nyoka: lione toto dogo madevu kibao, panya: ahh! mambo gani we kubwa zima lakini linatambaa.
panya alimkanyaga nyoka, mazungumzo yakawa hivii, nyoka: dogo vipi mbona unanikanyaga? panya: sorry brother bahati mbaya, nyoka: lione toto dogo madevu kibao, panya: ahh! mambo gani we kubwa zima lakini linatambaa.
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Aug 28, 2011 #2 huh.................ha haaaaaaaaa haaaaa haaaaaa,mkuu u made my day
Zasasule JF-Expert Member Joined Aug 12, 2009 Posts 1,001 Reaction score 103 Aug 30, 2011 #4 nice one man
Mitchell JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 944 Reaction score 1,103 Aug 30, 2011 #5 mikatabafeki said: huh.................ha haaaaaaaaa haaaaa haaaaaa,mkuu u made my day Click to expand... same here
mikatabafeki said: huh.................ha haaaaaaaaa haaaaa haaaaaa,mkuu u made my day Click to expand... same here
Terrire Member Joined Jul 13, 2011 Posts 88 Reaction score 10 Aug 30, 2011 #6 Ya ukweli kinoma!!!!!!!!!!!! Ha Ha Ha HA
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,352 Reaction score 100,336 Aug 30, 2011 #7 duh, sasa hapo dogo akawa ni Nyoka na Blaza (brother) akawa Panya so alistahili kumkanyaga? hahahahahaaaaaaa, ndevu urembo.............
duh, sasa hapo dogo akawa ni Nyoka na Blaza (brother) akawa Panya so alistahili kumkanyaga? hahahahahaaaaaaa, ndevu urembo.............
The only JF-Expert Member Joined May 19, 2011 Posts 11,124 Reaction score 14,629 Aug 30, 2011 #8 hhahahhahah bruuuuhahahahaha
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,372 Aug 30, 2011 #9 Mh! Mmmmmmmmhh!
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 908 Aug 30, 2011 #10 Teh teh teh teh!!
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,485 Aug 30, 2011 #11 mikatabafeki said: huh.................ha haaaaaaaaa haaaaa haaaaaa,mkuu u made my day Click to expand... hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa na huo mdomo wako ulivyoguna unaendana kabisaaaaaaaaaaaaaaa............
mikatabafeki said: huh.................ha haaaaaaaaa haaaaa haaaaaa,mkuu u made my day Click to expand... hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa na huo mdomo wako ulivyoguna unaendana kabisaaaaaaaaaaaaaaa............
Bambanza jr. JF-Expert Member Joined Aug 6, 2011 Posts 355 Reaction score 36 Aug 30, 2011 #12 Eheheheeee ivi panya ana ndevu au sharubu? Na nyoka anatambaa au anasota? 2saidiane mie cjui vema
G_crisis JF-Expert Member Joined Jun 19, 2011 Posts 723 Reaction score 254 Aug 30, 2011 #13 Kw kw kw kw kw kw