Wengine panya huwapa hofu, lakini huko Cambodia, viumbe hawa wamekuwa msaada mkubwa usioepukika
Panya wa Kiafrika aina ya giant pouched rats hupita kwa ustadi kwenye mashamba wakitafuta harufu ya TNT kemikali inayotumika kwenye mabomu mengi na mabaki ya vilipuzi. Mara wanaponusa, huashiria kwa watoa huduma wao kwamba kuna hatari
“Kwa kipindi chote nilichofanya kazi na hawa panya, nimeweza kugundua mabomu kila mara hawajawahi kunikosea hata mara moja,” alisema Mott Sreymom, mhudumu wa panya kutoka shirika la APOPO, linalojihusisha na usafishaji wa mabomu ya ardhini kwa kutumia panya duniani kote
Tangu shughuli rasmi za kuondoa mabomu zilipoanza Cambodia mwaka 1992, zaidi ya mabomu ya ardhini milioni 1.1 yamekwisha safishwa, pamoja na mabaki ya vilipuzi vya vita takribani milioni 2.9, kwa mujibu wa ripoti ya serikali ya mwaka 2022 kuhusu maendeleo ya usafishaji wa mabomu
====
Rats may send some squealing, but in Cambodia, teams of the not-so-little critters have become indispensable
The African giant pouched rats make their way nimbly across fields to signal to their handlers when they get a whiff of TNT, used in most land mines and explosive ordnance
“While working with these rats, I have always found mines and they have never skipped a single one,” said Mott Sreymom, a rat handler at APOPO, a humanitarian demining group that trains and deploys rodent detection teams across the world
Since demining officially began in Cambodia in 1992, more than 1.1 million mines have been cleared, as well as approximately 2.9 million other explosive remnants of war, according to a 2022 government demining progress report
Source: AP NEWS