Panua

Ngarna

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,964
Reaction score
824
Nilikuwa napita kwenye uchochoro mara nikasikia jamaa anamwambia binti panua.Nikasimama pembeni ya dirisha ilinipate kwa ukamilifu kinachoendelea.
Jamaa: panua
Binti : naogopa
Jamaa: panua nakuahidi haitauma.
Binti:naogopa damu itatoka nyingi.
Jamaa😛anua unanipotezea muda kuna wengine wanasubiri.
Binti: haya fanya haraka
Jamaa:Kwani ndio mara yako ya kwanza kung'oa jino.
Ikabidi niendelee na safari yangu baada ya kusonya walinipandisha hanjamu kumbe ni daktari wa meno.Mpaka leo nalaani madaktari wa uchochoroni.
 
Safi sana! Teena naisi umekoma bt nina wasi wasi istoshe we mpiga chabo maarufu! Angali iko siku utachunguliwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…