Panga top 5 yako ya maji ya kunywa ya chupa

1.Balimi Extra Lager (Ndogo)
2.Power Banana
3.Gardeners wine banana
4.Valuu superior blandy
5.Maji ya bomba
 
Kuna maji ya chupa (sitayataja jina)
Maji haya ukichanganya na K vant au konyagi, basi ujue pombe yako inakatika.
Sijui maji haya:cool:yana nini
Mkuu hebu yataje uokoe jahazi cz leo jioni kuna zoezi zito linalotarajia kuhusisha dilutions.
 
1.Kilimanjaro
2.Kilimanjaro
3.Kilimanjaro
4.Kilimanjaro
5. Ndanda
 
Back
Top Bottom