Panga pangua ya baraza la mawaziri ni ushahidi kuwa serikalini mambo si sawa

Panga pangua ya baraza la mawaziri ni ushahidi kuwa serikalini mambo si sawa

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,424
1767917106909.png

Hakuna watu ninawaonea huruma kama wateule wa rais hasa mawaziri.
Anayeteua amechanganyikiwa sawa na wale anaowateua.
Simbachawene aliongea anayopaswa akaishia kutemwa.
Kwa utawala huu, hata ukijikomba hauko salama.
Usipojikomba hauko salama. Uktenda haki hauko salama.
Ukisifia, hauko salama.
Ukilaumu, hauko salama.
Ukikosoa, hauko salama.
Ukiunga mkono, hauko salama.
Ukidhulumu, hauko salama.
Ukiongea, hauko salama.
Ukikaa kimya, hauko salama.
Ukiipenda, hauko salama.
Ukiichukia, hauko salama.
Ukiwa chawa, hauko salama.
Ukiwa na udhu kama mwanangu Joseph Warioba, hauko salama.
Ukisema ukweli, hauko salama.
Ukisema uongo, pia hauko salama.
Naona kuna kitu hakiko sawa.
 
Makonda yupi sasa! Yule mwandishi wa habari mwenye jina lake halisi, au huyu DAUDI ALBERT BASHITE kutoka kijiji cha koromije, anayetumia jina na cheti cha kufoji cha mtu mwingine?
Nime cheka kwa nguvu, nami nasubiri hicho kitendawili kina teguka vipi

Ila kwa haya mabadiliko ya kuzungushwa hapa na pale, woiii hatma iamue kabla ya 2030
 
View attachment 3527246
Hakuna watu ninawaonea huruma kama wateule wa rais hasa mawaziri.
Anayeteua amechanganyikiwa sawa na wale anaowateua.
Simbachawene alion

View attachment 3527246
Hakuna watu ninawaonea huruma kama wateule wa rais hasa mawaziri.
Anayeteua amechanganyikiwa sawa na wale anaowateua.
Simbachawene aliongea anayopaswa akaishia kutemwa.
Kwa utawala huu, hata ukijikomba hauko salama.
Usipojikomba hauko salama. Uktenda haki hauko salama.
Ukisifia, hauko salama.
Ukilaumu, hauko salama.
Ukikosoa, hauko salama.
Ukiunga mkono, hauko salama.
Ukidhulumu, hauko salama.
Ukiongea, hauko salama.
Ukikaa kimya, hauko salama.
Ukiipenda, hauko salama.
Ukiichukia, hauko salama.
Ukiwa chawa, hauko salama.
Ukiwa na udhu kama mwanangu Joseph Warioba, hauko salama.
Ukisema ukweli, hauko salama.
Ukisema uongo, pia hauko salama.
Naona kuna kitu hakiko sawa.
Ni awamu hii tu au ni awamu zote? Sisi binadamu tuna tabia ya kusahau.
 
Hii nchi ni kama kila mtu kakata tamaa, hakuna motisha kabisa, watu naona wameacha bora liende tu..Kwa nje wako kimya,kwa ndani wanazungumza na nafsi zao...
SERIKALI IMESHINDWA IKO PARALYSED Ndo maana polidi wanatamalaki sana.ndo engine sasa hivi
 
View attachment 3527246
Hakuna watu ninawaonea huruma kama wateule wa rais hasa mawaziri.
Anayeteua amechanganyikiwa sawa na wale anaowateua.
Simbachawene aliongea anayopaswa akaishia kutemwa.
Kwa utawala huu, hata ukijikomba hauko salama.
Usipojikomba hauko salama. Uktenda haki hauko salama.
Ukisifia, hauko salama.
Ukilaumu, hauko salama.
Ukikosoa, hauko salama.
Ukiunga mkono, hauko salama.
Ukidhulumu, hauko salama.
Ukiongea, hauko salama.
Ukikaa kimya, hauko salama.
Ukiipenda, hauko salama.
Ukiichukia, hauko salama.
Ukiwa chawa, hauko salama.
Ukiwa na udhu kama mwanangu Joseph Warioba, hauko salama.
Ukisema ukweli, hauko salama.
Ukisema uongo, pia hauko salama.
Naona kuna kitu hakiko sawa.
Pangua pangua ni kawaida kwa baraza la mawaziri
 
Back
Top Bottom