Panga foleni kisasa!

Panga foleni kisasa!

kakuruvi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
770
Reaction score
259
Kwenye bank zetu ukitaka pesa itakubidi utumie japo masaa mawili mpaka matatu, labda ufike mapema sana ili uwe wa kwanza, tiba ya foleni bank ni hii...
 

Attachments

  • foleni.jpg
    foleni.jpg
    23.6 KB · Views: 224
Huna haja ya kusimama mpaka viatu vyako foleni yake ifike. Haya nayo ni maendeleo kwa wwnzetu,hapa Home mabenchi ya kukulia hakuna watu wanadondoka kwenye foleni.
 
Hapo huduma haijafunguliwa au...maana sio kama kuna mteja aliyosimama over the counter. Sasa kwa huku kwetu wengine hawa hata viatu inakuwaje?
 
Sasa kwa Soksi zetu hizi za kibongo bongo jua kali, ingekuwa apatoshi
hahahahahahaha! benk zima itakuwa inanuka harufu za ajabu ajabu tu, na hapo ndipo tutaona siri nyingi za sox za watu, maana nyingi zimetoboka chini.
 
Hiyo safi sana..... Imenikumbusha enzi za mwalimu tulikuwa tunapanga mawe kwenye foleni ya maji... Ukichota maji wakati unayapeleka home unaacha folrni ya mawe ukirudi unakuta ishasogea!!!!!
 
Mbona hii tuliifanya sana wkt wa foleni za sukari! Tena afadhali ya hawa, sisi tulikuwa tunapanga mawe, na kila mmoja alikuwa analijua jiwe lake.
 
Back
Top Bottom