Panga badala ya Kisu, Binadam mna mambo nyie

Panga badala ya Kisu, Binadam mna mambo nyie

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,092
402627_10150547924320579_177232385578_10952829_824636530_n.jpg
 
huku itakuwa ni kenya. sasa hayo ni makachumbari au ni nini jamani...dah, ugali mgumu huo...
 
Mbona hao watu wanaonekana wana mawazo ya mbali na huo ugali? wamepewa adhabu nini?
 
huku itakuwa ni kenya. sasa hayo ni makachumbari au ni nini jamani...dah, ugali mgumu huo...

kama ingekua Kenya pembeni kusingekosaga "sukuma wiki"
 
Mbona hao watu wanaonekana wana mawazo ya mbali na huo ugali? wamepewa adhabu nini?

Hao watakuwa wasukuma, hapo wanawaza watashiba kweli huo ugali? usikute mbele yao kuna nyomi ya watu, so wanahisi hiyo ndonga haitoshi.... maana pande za kwao ukiambiwa subiri kaugali, ujue ni mlo wa familia mbili pande za kimazichana au chanika!!
 
Ndo buffet?

Hapana MadameX,,, hiyo ni BIRTHDAY CAKE na hilo panga ndio la kukatia,, sasa hapo huyo bwana mwenye sherehe ndio anatafarakari,, kama panga litatosha ama wamletee tu JEMBE
 
Back
Top Bottom