vipo vitu vingi vinapaswa kuaminiwa kuwa vipo hata kama havionekani.....Ni kama wewe mwenyewe anavyoamini kuwa unaakili jambo ambalo ni sahihi kabisa lakini hakuna mtu hata mmoja aliyewahi kuiona akili yako na hata wewe mwenyewe hujawahi kuiona akili yako.
Je kwa sababu hatujawahi na hata wewe hujawahi kuiona akili yako tusema kuwa huna akili?...hata akili ni kitu hakishikiki na wala kuonekana it is an abstract!