Pando la mlaaniwa (USA)

Hizi ni theories zinatengenezwa na watu kama sisi kwa nia ya kuteka fikra za watu. Zinatengenezwa kwa nia ya kudivert minds za watu towards normal logical reasoning.

Hakuna kitu kinachoitwa Lucifer dunia hii. Hakuna mwenye ushahidi...
 
Nimeisoma hii nikajaribu kurelate yanayotokea duniani
Hizi harakati za kinachoitwa haki zawanawake, mmesikia Lutheran UK wameanza kutoa uasikofu kwa wanawake. Ndoa za jinsia moja
Zinazoitwa haki za mashoga,
Mpaka Mashoga wanapewa Uasikofu
Global Economic Policy kama Globalization (utandawazi)
Vuguvugu la nchi kuungana kuwa jumuiya. Mnapoungana maanake mnakuwa na same market na development policy, laws etc
Kwanini yanatokea sasa ?
 
Hizi ni theories zinatengenezwa na watu kama sisi kwa nia ya kuteka fikra za watu. Zinatengenezwa kwa nia ya kudivert minds za watu towards normal logical reasoning.

Hakuna kitu kinachoitwa Lucifer dunia hii. Hakuna mwenye ushahidi...

Lucifer yupo na ana exist sana tu kubisha au kutokuamini kwako haimaanishi kuwa hayupo. Lucifer yupo sana tu.
 
Lucifer yupo na ana exist sana tu kubisha au kutokuamini kwako haimaanishi kuwa hayupo. Lucifer yupo sana tu.

Diva Beyonce nimejifunza katika dini kuwa Lucifer yupo, sijathibitisha kama kweli yupo! Tafadhali nisaidie kujua hili pasina chembe ya wasiqadi kuwa shetani yupo ili nikue kiimani!
 
Last edited by a moderator:
Lucifer yupo na ana exist sana tu kubisha au kutokuamini kwako haimaanishi kuwa hayupo. Lucifer yupo sana tu.

Una proof kuwa lucifer yupo? Any touching material to substantiate your claim?
 
Una proof kuwa lucifer yupo? Any touching material to substantiate your claim?

Wewe intangible things una improve kivipi kwa physical evidence. Shetani ana exist sana tu hii inaweza Ku proviwa kwa walio rohoni tu. Sababu kuna ulimwengu wa Giza na Nuru.
Intangible things kuna aina yake ya kuona and not physically.
 
Diva Beyonce nimejifunza katika dini kuwa Lucifer yupo, sijathibitisha kama kweli yupo! Tafadhali nisaidie kujua hili pasina chembe ya wasiqadi kuwa shetani yupo ili nikue kiimani!

Ndio Lucifer ana exist sana na anautendaji wake kwa kushirikiana na maajenti wake.
Ukitaka kukua imani inabidi uzidishe maombi na kutaka kumjua zaidi Mungu ili ujue pendo lake kwako. merengo90 pitia huku utoe ufafanuzi zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Una proof kuwa lucifer yupo? Any touching material to substantiate your claim?

ujue kuna wanaomtafsiri lusifer kama sio shetani,tofauti na wanaomtafsiri kuwa shetani?
jaribu kuresearch......
 
Hizi ni theories zinatengenezwa na watu kama sisi kwa nia ya kuteka fikra za watu. Zinatengenezwa kwa nia ya kudivert minds za watu towards normal logical reasoning.

Hakuna kitu kinachoitwa Lucifer dunia hii. Hakuna mwenye ushahidi...

kubisha kuwa hayupo haiondoi uwepo wake. Nikiwa secondary kuna jamaa alifanya project ya math kwa kutumia logic zote za hesabu akathibitisha sifuri ni sawa na moja (1=0). At the end in reality si kweli kwamba 0=1.
 
Nami naomba kuongezea kidogo... Yesu alisema kwa mtini jifunzeni alikuwa anamaanisha mti huo ni Israel na alisema mtakapoyaona hayo mjue mwisho umekaribia, hivyo kila siku hatuna budi kujifunza na kulichunguza taifa hili kwa ukaribu sana...... Yapo mengi sana yaliyotabiriwa na manabii kuhusu Taifa hili na ukitulia ukisoma actually utaona ndiyo yanayoendelea kwa sasa yahitaji utulivu sana na hekima ya kimungu kuyajua hayo.....ukiangalia ile ndoto ya Nebukadreza ya Sanamu katika kitabu cha Daniel inareflect haswa hali ya sasa, habari za 666, vita vya Armageddon ni habari zinavyoreflect hali ya sasa.....

Kwa kuwa katika Israel wapo wasioamwamini Masihi na ukengeufu wote walionao na waufanyao maandiko matakatifu yanatuambia hukumu yao ipo ambapo kila jicho litamuona na kila ulimi utamkiri na kila goti litapigwa mbele zake......
 
Last edited by a moderator:
kupisha kuwa hayupo haiondoi uwepo wake. Nikiwa secondary kuna jamaa alifanya project ya math kwa kutumia logic zote za hesabu akathibitisha sifuri ni sawa na moja (1=0). At the end in reality si kweli kwamba 0=1.

Ishu ni kwamba lucifer ni kitu abstract, hakishikiki wala kuonekana. Ndo maana nikataka uthibitisho
 
Wewe intangible things una improve kivipi kwa physical evidence. Shetani ana exist sana tu hii inaweza Ku proviwa kwa walio rohoni tu. Sababu kuna ulimwengu wa Giza na Nuru.
Intangible things kuna aina yake ya kuona and not physically.

Ushawahi kumuona kwa huo ulimwengu wako wa roho? Anafanaje?
 
ile itakua sayari ,actualy,si nyota,ila waandishi wa zamani hawakujua tofauti ya sayari na nyota....
lakini pia lucifer ilitumika katika kumaanisha mungu,enzi za zamani sana,SOMA.
 
Ishu ni kwamba lucifer ni kitu abstract, hakishikiki wala kuonekana. Ndo maana nikataka uthibitisho
Una maana gani unaposema ni "kitu abstract" je abstraction inaweza kuwa katika physicalilty?
 
Una maana gani unaposema ni "kitu abstract" je abstraction inaweza kuwa katika physicalilty?

Whatever the case, lucifer ni abstract idea created to control people's minds.

Hakuna alie prove kuwa kuna lucifer.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…