MWAKA 2019
JAMAA: Kaka Miyeyusho habari? Naitwa Nassoro, samahani naomba unishauri. Nina mchumba wangu nampenda ila yeye anipendi, mara kadhaa ameniambia tuachane ila nambembeleza tunarudiana. Ila sasa naona kawa kweli na maamuzi yake, wiki sasa kila nikimbembeleza ananiambia hanitaki.
Nitakuja PMKaribu mkuu, una jambo gani linakutatiza?
Hajasahau chochote zaidi ya lile dem la zamaniKuna kitu umesahau kuandika kaka miyeyusho.....
kitaje basi evelyn chumvi😛Kuna kitu umesahau kuandika kaka miyeyusho.....
Kipo...Hajasahau chochote zaidi ya lile dem la zamani
Amesahau kuandika MPELEKEE MOTOKipo...
Unajiskiaje uwe na pesa mingi lakini kidubwana cha kumkuna manzi hakifanyi kazi..mkuu pata pesa halafu uwe humpelekei moto wa kumtosha mkeo/mpenzi uone majibu yake, mkuu hela ni muhimu sana ila siyo kila kitu, kuna heshima pia, hata uwe na pesa kama mwanamke wako humheshimu na kumsikiliza bado hela zako unazozitafuta zitaenda kutumika kuwajengea majumba wanaume wenzako, narudia tena mkuu, pesa ni muhimu sana lakini siyo kila kitu.