Angalizo. Mossack Fonseco provide shareholders with structures supposedly designed to hide the
identity of the real owners.
Hii posti yako inafanana na kamchezo ka bosi wa Kenya Power (Stima) katika post namba 169 ya uzi , kuwa wala rushwa hutumia watu wengine ambao ni wafanyabiashara wakubwa au kampuni feki kuwafichia pesa za 10% au rushwa ngambo maana wafanyabiashara hao wana miamala (transaction) mingi ya pesa na hivyo kusaidia kutakasa pesa chafu kwa niaba ya vigogo wasiotaka majina yao halisi yatumike katika huo upigaji wa pesa chafu.