Panama papers: Majina ya Watanzania waliohifadhi fedha nje ya nchi yatajwa

Karibu wote ni wahindi. Kwenye sukari ni wahindi. Tuwafanyaje hawa magobachori? Nawaona Manji na Abood,Diwani na Mbunge wa CCM. Mzee Tupatupa

HAPO TU MKUU, NAJIULIZA KAMA WANAONA USALAMA WAO WA KUWEKA HELA HAPA MDOGO SI WAKAKAE HUKO HUKO WAZITAFUNE TARATIBU NA KWA AMANI?! UPATE HELA YA HALALI UIKIMBIZE NJE YA NCHI! WOGA WA NINI?! BASI FISADI...
 
Hii skendo inadhihirisha kuwa wahindi si wenzetu na hawapo hapa nchini kwa ajili ya kukuza uchumi wetu bali kwa ajili ya kuuangamiza.......
Mimi nashauri hao magabachori wafukuzwe nchini na mali zao zitaifishwe.......au la wapigwe risasi hadharani.....
 
Hii skendo inadhihirisha kuwa wahindi si wenzetu na hawapo hapa nchini kwa ajili ya kukuza uchumi wetu bali kwa ajili ya kuuangamiza.......
Mimi nashauri hao magabachori wafukuzwe nchini na mali zao zitaifishwe.......au la wapigwe risasi hadharani.....
Kuna mijitu inawatetea au yenyewe nayo ni ya asili ya Asia inajitetea eti kuwasema ni ubaguzi. NO! Hawa wanaojiita waTZ wenye asili ya Asia ni tatizo kwa nchi za Afrika mashariki. Kenya tatizo, Uganda tatizo na Tz ni tatizo letu pia.

Tunaishi nao lakini hatustahili kuwapa umuhimu kwa maendeleo ya nchi hii.
 
Someni habari hii na kufikiria nje ya box, maana mnaweza kusema mbona majina ya ''Kihindi'' matupu bila kujiuliza labda jamaa zetu hawa wameweka pesa huko kwa niaba ya vigogo fulani: soma kesi hii ya kigogo wa ''Tanesco'' Kenya alivyoficha na kutakasa fedha kwa jina la kampuni huko Jersey inayofanana na PANAMA PAPERS


Gichuru, Okemo lose Jersey millions

Court orders seizure of firm's Sh520 million stashed in offshore account


Former Kenya Power boss Samuel Gichuru and former Nambale MP Chris Okemo have lost the money they stashed on Jersey Island after authorities there confiscated it.

Deciding on a case launched two weeks ago by the island’s attorney-general, the Royal Court of Jersey ordered the seizure of about Sh520 million in the offshore account belonging to Windward Trading Ltd after the company pleaded guilty to four counts of money laundering.

The company, according to court records, admitted to laundering proceeds of crime between July 29, 1999 and October 19, 2001.

Windward was created in the 1980s by Mr Gichuru to receive kickbacks for the award of tenders to foreign firms during his tenure at Kenya Power. The funds were usually disguised as consultancy fees or commissions charged to the companies.

FRAUD CHARGES

Mr Okemo has also been named as a beneficiary of bribes, according to court papers, and is also wanted in Jersey on money laundering and fraud charges.

Jersey Attorney-General Robert MacRae said the decision by the court will not dampen his country’s pursuit to extradite the two. He said he would consult Kenyan authorities on how to return the money.

“This is a very important case demonstrating Jersey’s commitment to combating money-laundering and international corruption,” he said in a statement Thursday night.

Indicted in July 2011 by the Jersey authorities, the two have been fighting legal battles in Kenya to stop their extradition.

The High Court in November ordered that they be extradited. They appealed the decision and a temporary order was issued last month for them to stay until the matter is decided.

Mr Gichuru and Mr Okemo face 53 counts linked to the “commissions”.

Details of the money were exposed when Mr Gichuru’s wife filed court papers during proceedings for divorce. The wife claimed an estimated Sh1 billion was stashed abroad.

Details from the court showed how they milked companies bidding to get contracts with Kenya Power. On Wednesday, the company pleaded guilty to four counts of money laundering and the Court of Jersey imposed a confiscation order of £281,897.40 and $540,330.69 equivalent to the total assets of the company.

ADMITTED TO CRIME

Windward, according to court records, admitted to laundering proceeds of crime between July 29 1999 and October 19, 2001. Those activities took place in Kenya, where Mr Gichuru was still serving as Kenya Power's boss.

This scheme involved companies from different countries, and an investigation Jersey launched into the matter meant it had to seek legal assistance from as many as 12 countries around the world.

The companies included Wärtsilä, based in Finland, Knight Piésold, from South Africa, British engineering company Mott Macdonald and Capitan (Europe). They all paid Mr Gichuru to get favours for contracts through accounts Windward held at Jersey’s HSBC Bank Plc and Royal Bank of Scotland International.

Jersey is a British Crown dependency among the Channel Islands with an area almost the size of Nairobi city but with about 100,000 people. But the determination with which it has pursued the case shames Kenyan authorities, even though it is also meant to clean up the island’s image as a safe haven for dubious money dealings.

Only this year, London’s Southwark Crown Court seized the assets of Smith & Ouzman Ltd and ordered the British printer to pay a total of Sh351 million in fines and penalties for paying out bribes, codenamed "chicken", to the then Interim Independent Electoral Commission and the Kenya National Examinations Council.

Jersey’s laws allow the authorities to seize assets gained from criminal activities such as money laundering, drug trafficking and bribery.
Source: Gichuru, Okemo lose Jersey millions
 
Rafiki zake na Lowasa kina rostam ni wezi sana

Eh magufuli anza na hawa waficha hela plz

Ukitumbua hawa tu basi umeshamaliza UFISADI

Vipi Manji diwani wa ccm? Abooud mbunge wa ccm na wahindi wote ndio wafadhili wakuu wa ccm,
 
View attachment 346243

Kasbian Chirich, mmoja ya Watanzania katika kashfa ya PanamaPapers ni Balozi wa Heshima wa Tanzania nchini Israel.
Hizi nafasi za ubalozi sasa ni za kutizama kwa jicho la tatu, hivi ule ubalozi mdogo china wa guanzoh bado upo na balozi ni yuleyule bosi wa shoping centre iliyojitangaza muflisi?
 
Angalizo. Mossack Fonseco provide shareholders with structures supposedly designed to hide the
identity of the real owners.
 
Unaona sasa ujinga tunatolewa kwenye mada ya mambo mazito ya nchi tunapelekwa kwenye umbea wa toilet papers termed as Panama paper. Shit Kama tulishindwa ESCROW,EPA,MEREMETA,KAGODA,DEEP GREEN,and drugs loads. Tutaweza the so called Panama papers ? This is like gold ring in a pig's snouts.

nani ana kutoa?? hao wa panama papers? CCM au nani hasa??

ebu nijibu mkuu
 
Kutoka hiyo site:

Disclaimer
There are legitimate uses for offshore companies and trusts. We do not intend to suggest or imply that any persons, companies or other entities included in the ICIJ Offshore Leaks Database have broken the law or otherwise acted improperly. Many people and entities have the same or similar names. We suggest you confirm the identities of any individuals or entities located in the database based on addresses or other identifiable information. If you find an error in the database please get in touch with us.
Hakuna mtu anayefanya kazi safi anayeweza kuhangaika kiasi hiki cha kuficha akaunti yake kwa mtindo huu. Angalia Video ya wahusika inavyosema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom