Panama cricket team (girls)

Panama cricket team (girls)

Hii timu i ngekuwa kwetu,uwanjani pangekosa mahali pa kutema mate.
Haaaaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,fikiria hao akina dada wangekuwa pale uwanja wa Abajaro Sinza au pale kwenye timu ya Ashanti Ilala huo mtafuruku ungekuwaje,hao akina dada hata mvuta bangi akiambiwa aache kuvuta bangi ili unishumu ataacha,du bonge la mfereji wa Suez,meli inapita kwa ulaiini
 
kama hivyo mm ningeomba kuwa kocha wao....., na tungeshinda kila siku..!
 
Hawa nia yao si kuonesha mchezo wa kriket, bali kutuonesha yao makalio, ok, ni uungwana muungwana akifurahishwa ashukuru, mimi binafsi nimevutiwa na hayo makalio na si mchezo wao, i wishi ningejua wanapofanyia zoezi ningehudhuria daily.
 
Hawa ni cheer leaders......wachezaji watakuwaje na jezi yenye namaba sawa (2)?

panama-cricket-has-the-best-booty.jpg
Yani mimi napenda sana huu mchezo
 
mama yangu, wife kaona naangalia ikabidi anyamaze kwanza...jamani...
 
Imekaa poa hii...ila tennis yao kali zaidii.:bange:
 
jamani hivi uwanja wa kriketi ni wapi nianze mazoezi na mm
 
Dah nilikuwa nauchukia huu mchezo ila sasa nitaanza kuupenda kha!!!
 
Du! hakuna kufuli hapa, ni mbendembende
 
Hii timu i ngekuwa kwetu,uwanjani pangekosa mahali pa kutema mate.

Kwa nini uteme mate mkuu uwanjani hata kama kuna mahali pa kutema? Huo nao ni utovu wa nidhamu, badilika mkuu.
 
Back
Top Bottom