Sina nia mbaya. Ila nakushuri tu hizo Picha ambazo ziko katka post tofauti uziweke kwenye post namba one.Sijui nimekosea wapi hata kuonekana "a disorganized thread" ..... ulie mtaalamu hebu nisaidie
Post namba 2-5(Picha ziweke post namba Moja(ziunganishe). Otherwise una wazo zuri sanzSijui nimekosea wapi hata kuonekana "a disorganized thread" ..... ulie mtaalamu hebu nisaidie
Nilitamani nifanye hivyo ... but simu yangu imeshindwa kulifanikisha hilo mkuu .... if you can organize them in that manner it'll be goodSina nia mbaya. Ila nakushuri tu hizo Picha ambazo ziko katka post tofauti uziweke kwenye post namba one.
OK. Sina mamlaka hayo mkuu maana Mimi siyo mtoa post otherwise itabidi niipost Mimi hiyo thread yako kitu ambacho siyo(nitakuwa nimeiba idea yako). Usijali mkuu. Baadae utapata majibu.Nilitamani nifanye hivyo ... but simu yangu imeshindwa kulifanikisha hilo mkuu .... if you can organize them in that manner it'll be good
So kama hiyo "the most protruding structure" ni jengo my be la makazi, biashara au shughuli yoyote ya kijamii radi ikitua hapo ni majanga?Kwa kawaida, radi inapotoka juu kuja chini, inatua kwenye the most protuding structure. Kama ni mti, na ndo mrefu kuliko yote itatus humo. Sasa radi ni umeme with no control. Ikikutana na resistance, joto hutokea and hence moto
Kuna vitu vinakua ni virefu kuliko miti, mfano ni minara ya simu. Lkn mbona sijawahi kusikia ikidhuriwa na radi? Badala yake ni miti. Hapa ufafanuzi wake ni upi haswaKwa kawaida, radi inapotoka juu kuja chini, inatua kwenye the most protuding structure. Kama ni mti, na ndo mrefu kuliko yote itatus humo. Sasa radi ni umeme with no control. Ikikutana na resistance, joto hutokea and hence moto
Ni kweli!Kwa kawaida, radi inapotoka juu kuja chini, inatua kwenye the most protuding structure. Kama ni mti, na ndo mrefu kuliko yote itatus humo. Sasa radi ni umeme with no control. Ikikutana na resistance, joto hutokea and hence moto
Mara nyingi minara ya simu, electric towers, maghorofa marefu na structures ndefu angani uwekewa a solid earthing system kwa ajili ya kuondoa damages ambazo zingesababishwa na radi.Kuna vitu vinakua ni virefu kuliko miti, mfano ni minara ya simu. Lkn mbona sijawahi kusikia ikidhuriwa na radi? Badala yake ni miti. Hapa ufafanuzi wake ni upi haswa