Pampu ya chipsi vs Pampu ya Ugali

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Tukio la hivi karibuni mtaani kwetu ambapo jamaa mmoja alimfumania wife wake 'akimega mkate' na kijana mmoja kinyozi limekuwa ni muendelezo wa matukio ya wake za waume wenye ajira nzuri, pesa na familia bora kukutwa na vijana wasioweza hata kulinganishwa nao kimaisha.

Kilichonigusa ni pale kijiweni vijana walikuwa wanasema hawa wanaume wanasaidiwa kutokana na mfumo wao wa maisha, kupenda vitu soft na kujikuta hata kwenye majamboz kiwango kinashuka.

Walinimaliza pale kijana mmoja aliposema ....'Bro unadhani pampu ya Chipsi ni sawa na pampu ya Ugali'?...
 
ha ha ha ha ha.....definately pump ya Ugali ina nguvu ya ku-press harder na kufanya kazi kwa muda mrefu kuliko ya chipsi.....lol
Ila inasikitisha aisee,ndo binadamu haturidhiki bwana.......hela na utajiri si kila kitu.....kuna maskini wawezao kutoa huduma bora na swaafi kuliko matajiri......will be back!!!!:coffee:
 
Tukio la hivi karibuni mtaani kwetu ambapo jamaa mmoja alimfumania wife wake 'akimega mkate' na kijana mmoja kinyozi limekuwa ni muendelezo wa matukio ya wake za waume wenye ajira nzuri, pesa na familia bora kukutwa na vijana wasioweza hata kulinganishwa nao kimaisha.

Kilichonigusa ni pale kijiweni vijana walikuwa wanasema hawa wanaume wanasaidiwa kutokana na mfumo wao wa maisha, kupenda vitu soft na kujikuta hata kwenye majamboz kiwango kinashuka.

Walinimaliza pale kijana mmoja aliposema ....'Bro unadhani pampu ya Chipsi ni sawa na pampu ya Ugali'?...

Vijana wa mitaani wengi wako fit sana kimwili na huwezi waona wana vitambi . . . na mwanaume ukiwa na kitambi unapunguza urefu wa banana yako. Tatizo ni afya za hao vijana, hata kama atatumia koti bado kuna vidonda mdomoni, magonjwa ya ngozi n.k.
 
Hata hawa walinzi nao wa siku hizi wanapendeza na uniform zao? nao sijui wanakula ugali? na wababa wanaorudi saa nane za usiku wanawakomeshaga sana, kimke kinajisevia tu. matukio kama hayo yanatokea sana kwenye jamii yetu, ingekuwa yanakuwa wazi mbona mngecheka sana, ni hivi huyo tu ameshikwa. Acheni kula mimbuzi na michips wababa wa maofisini ili muwe na nguvu
 
Kitimoto je?
 
Hivi wale mabaunsa vp, nao wapo fit ama!!
Au wachezaji mpira (supa staaaaaz) nao vp, fit ama!!
 
pampu ni pampu tu, iwe ya chips au ya ugali.cha msingi ni service,ufundi na uwezo binafsi katika kuitumia
 
:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:pampu ya ugali ni noma jamani! Vijana wanakuwa ngunguri kweli kweli, wakipanda hawashuki na ikiwezekana wanasimamia hadi vidoleeeeeee! Hapo kama baba mwenye nyumba anashindia chips, akija jioni/usiku wakati mke amesha pitiwa na mla ugali atamwona kama anamchafua tu, kwani kiu yote imekatwa na mla ugali! Onyo kwa wababa wa chips, tubadilike la sivyo wake zenu hawata waheshimu katika swala zima la ndoa!!!!!!!!!!!!!!!:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
 
Hapo umeniacha hoi:laugh:
 
Hivi mafuta si ndiyo yana eneji sana!!!

Mafuta yana energy, lakini watu wanakula zaidi ,yanayozidi ndio yanakuwa ku adipose tissue, vitambi nk. Kikubwa ni kuhakikisha mafuta yanaungua na mwili kuweza kufanya kazi zake vizuri. Kikawaida ration ni 20g za mafuta kwa mtu kwa siku. Na wastani wa kcals 2100 kwa siku kwa mtu.
 
Wakati mwingine ni tabia tu, Hata kama mume anajitahidi kumtimizia mke mahitaji yake bado atatoka tu nje.
Wakati mwingine ni kutokuwa na mawasiliano,mke mueleze mumeo kuwa huridhiki,afanyeje, mume usikasirike unapoambiwa ukweli bali tafuta ushauri jinsi yakujiboresha.
 
Naombeni mnijuze kwa ambao hatupo east and southern africa ambako ugali unapatikana tule nini instead?Na kwa mantiki hiyo pampu za ukweli zipo africa tu?
 
Back
Top Bottom