Pamoja na yote, Magufuli aachwe amalize vipindi vyake viwili vya Urais

Wana JF naleta hoja hii na naomaba tuiunge mkono.
Sijaanza kampeni hapana.
Ila mwaka huu tunajua ni mwaka wa uchaguzi wa Rais na wabunge.
Wabunge twaweza kuwaondoa lakini kwa Rais chonde chonde tumwache aendelee.
Sababu zangu kimsingi ni miradi miwili mikubwa ambayo Mh Magufuli angeachwa aimalizie .
Wa kwanza muhimu sana ni ue wa Umeme wa Stiegler, na wa pili hi huu wa SGR.

Uchumi umeyumba siyo siri akini hata huko Ulaya na Marekani hali ni hiyo hiyo.

Tumwachie kipindi cha pili Mh Magufuli ili ingalau akamilishe hii miradi na tutamkumbuka maana hii miradi itpaisha uchumi.
Thubutu aachwe vipi Wakati nchi imemshinda,labda amalize vipindi viwili kwenye familia yako kwenye nchi yeti hapana.
 
Wakandarasi si tayari wako kazini na walishaini mikataba ? Kinachosubiria si ni completion tu ya hiyo miradi na commissioning au Kuna mienzi mwingine anahitajika ?
Huyu mleta mada atakuwa anazo sababu zake nyingine zinazomfanya aandike haya aliyoweka hapa.

Miradi hii haiwezi kamwe ikawa ndiyo iwe sababu ya nchi nzima kurudisha mtawala kama wameona hafai kuwaongoza.
 
Wana JF naleta hoja hii na naomaba tuiunge mkono.
Sijaanza kampeni hapana.
Ila mwaka huu tunajua ni mwaka wa uchaguzi wa Rais na wabunge.
Wabunge twaweza kuwaondoa lakini kwa Rais chonde chonde tumwache aendelee.
Sababu zangu kimsingi ni miradi miwili mikubwa ambayo Mh Magufuli angeachwa aimalizie .
Wa kwanza muhimu sana ni ue wa Umeme wa Stiegler, na wa pili hi huu wa SGR.

Uchumi umeyumba siyo siri akini hata huko Ulaya na Marekani hali ni hiyo hiyo.

Tumwachie kipindi cha pili Mh Magufuli ili ingalau akamilishe hii miradi na tutamkumbuka maana hii miradi itpaisha uchumi.
kwani nani wa kumtoa hapo ni hadi mwenyewe atake kutoka unamwonaje yule mzee..
 
Wana JF naleta hoja hii na naomaba tuiunge mkono.
Sijaanza kampeni hapana.
Ila mwaka huu tunajua ni mwaka wa uchaguzi wa Rais na wabunge.
Wabunge twaweza kuwaondoa lakini kwa Rais chonde chonde tumwache aendelee.
Sababu zangu kimsingi ni miradi miwili mikubwa ambayo Mh Magufuli angeachwa aimalizie .
Wa kwanza muhimu sana ni ue wa Umeme wa Stiegler, na wa pili hi huu wa SGR.

Uchumi umeyumba siyo siri akini hata huko Ulaya na Marekani hali ni hiyo hiyo.

Tumwachie kipindi cha pili Mh Magufuli ili ingalau akamilishe hii miradi na tutamkumbuka maana hii miradi itpaisha uchumi.

Duh!
kwani nani anampango w akumzuia?
hivi inakuwaje vipindi vyake? alizaliwa navyo au ni vya urithi ?
 
LOoo, napata shida sana kuchangia mada hii baada ya kufahamiana na wewe hapa JF!

Hii miradi ni mhimu zaidi ya uhai wa Tanzania yenyewe?

Mkuu 'Jidu La Mabambasi', haya mavitu wengine hawawezi kuyamalizia? Sema unazo sababu zako nyingine ambazo labda ni siri yako.

Mtawala anayekanyaga Katiba iliyompa madaraka, anajiamria kufanya lolote linalompendeza yeye bila ya kuhojiwa na mwingine yeyote hata ndani ya chama chake; mtu asiyependa kufuata taratibu katika utendaji; mvuruga umoja wa taifa letu..., yote haya huyaoni unaona miradi tu?

Yasingekuwa haya ya kukanyaga haki za watu na kutumia mabavu hovyohovyo ningekubaliana na wewe. Lakini inapofika mahali mtu huyo huyo anatumia vyombo tulivyomkabidhi kutunyima haki ya kumwondoa kama tunaona hafai, bado unataka tumwache aendelee?

Hapana.
Mkuu Kalamu1 uko sahihi mana tumekutana awali nikikosoa utendaji wa serikali.

Kwa bahati mbaya kuna watu humu wanachukulia kukosoa kuwa sawa na upinzani.
Hivyo wanatetea hata mapungufu yaliyo dhahiri.
Kuonea watu na kuwafunga hata kama ni wapinzani si sahihi.

Naamini Magufuli ni binadamu na hata kama hapendi lakini at least anapata feedback ya yale mambo ambayo kina YES SIR wanampelekea kpitia mitandao hii.
Hii haina maana tuna mchukia au kumpinga kisiasa.
Hili lielekweke wazi.

Pili kati ya mapungufu ya Magufuli ni hulka tu.
Tunajua hapendi kuambiwa amekosea, hayo ni mapungufu.
Ambaye hakosei ni Mungu tu na malaika wake.
Lakini katika kutenda na kusimamia kile anachoamini Magufuli nampa nambari wani.
Wazungu husema "he zeroes in" katika tatizo au mpango wa maendeleo bila kupepesa macho.

Na ndio maana naamini ni vyema Magufuli akamalizia kipindi ingine ch miaka mitano ingalau hii miradi imalizike.

Nakumbushua , kule Zanzibar kuna nymba akizianza Mh Karume baada ya mapinduzi.
Alipofariki 1972 nyuma ambazo hazikuwa zimekailika zilikaa hivyo karibia miaka 40.

Mpeni Magufuli miaka mitano amalize kazi.
 
Wana JF naleta hoja hii na naomaba tuiunge mkono.
Sijaanza kampeni hapana.
Ila mwaka huu tunajua ni mwaka wa uchaguzi wa Rais na wabunge.
Wabunge twaweza kuwaondoa lakini kwa Rais chonde chonde tumwache aendelee.
Sababu zangu kimsingi ni miradi miwili mikubwa ambayo Mh Magufuli angeachwa aimalizie .
Wa kwanza muhimu sana ni ue wa Umeme wa Stiegler, na wa pili hi huu wa SGR.

Uchumi umeyumba siyo siri akini hata huko Ulaya na Marekani hali ni hiyo hiyo.

Tumwachie kipindi cha pili Mh Magufuli ili ingalau akamilishe hii miradi na tutamkumbuka maana hii miradi itpaisha uchumi.
Hiyo Stiglers na SGR mwingine anaweza kuimalizia na watumishi wakaneemeka vile vile. Haya mambo ya kuumizana miaka yote 10 hapana.
 
Wana JF naleta hoja hii na naomaba tuiunge mkono.
Sijaanza kampeni hapana.
Ila mwaka huu tunajua ni mwaka wa uchaguzi wa Rais na wabunge.
Wabunge twaweza kuwaondoa lakini kwa Rais chonde chonde tumwache aendelee.
Sababu zangu kimsingi ni miradi miwili mikubwa ambayo Mh Magufuli angeachwa aimalizie .
Wa kwanza muhimu sana ni ue wa Umeme wa Stiegler, na wa pili hi huu wa SGR.

Uchumi umeyumba siyo siri akini hata huko Ulaya na Marekani hali ni hiyo hiyo.

Tumwachie kipindi cha pili Mh Magufuli ili ingalau akamilishe hii miradi na tutamkumbuka maana hii miradi itpaisha uchumi.
Miradi yote miwili inalenga kuwasaidia majirani zetu kwa umeme wa ziada utakaozalisha na kusafirisha mizigo yao; swali je hao majirani wanatuthamini jinsi sisi tunavyowathamini?
 
Na ndio maana naamini ni vyema Magufuli akamalizia kipindi ingine ch miaka mitano ingalau hii miradi imalizike.

Nakumbushua ,
'Jidu' hunisomi, na kama unanisoma hunielewi.

Ngoja nikwambie kidogo: hiki kijiwe cha JF tupo watu aina mbalimbali kidogo. Wengine tunachukulia kwa makini sana baadhi ya michango toka kwa wachangiaji kadhaa waliomo humu. Tulishajibishana kidogo tokea huko nyuma mimi na wewe kuhusu kipenzi chako hiki. Masopya na Jidu...!

Ninakukumbuka muda kitambo kidogo mkuu wangu 'Jidu la Mabambasi' tokea huko nyuma kidogo, sio juzi tu ulipoamua kunishirikisha kidogo katika unayoyaamini na CCM yenu. Niliyachukulia hayo uliyoniandikia kwa umakini na nilikujibu, na pengine bado hukuelewa nilichokujibu.

Sasa ukweli ninaoupata toka kwako ni huu. Wewe sio mpenzi wa CCM kama chama cha siasa. Wewe ni mpenzi wa Magufuli, amabaye ametokea kukibinafsisha chama cha CCM.

Leo hii unawadanganya wapuuzi apewe muda ili amalize miradi. Miradi haiishi. Kesho utakuja na hadithi hiyo hiyo.

Imenisikitisha kidogo kwa kukufahamu kihivi.
 
Ni kweli kwa utaratibu wa katiba.

Ila kwa uzoefu wa kisiasa tumwachie na term ya pili.
Hii miradi ikikamilika Tanzania itakuwa imepaa kimiundombinu ya uchumi.
Inamaana akiingia mwingine hawezi endeleza? Mbona uwanja wa ndege terminal three alianza kikwete na yeye akamalizia.Mimi sioni tatizo kama wananchi wakiamua vinginevyo akubali wala asitumie nguvu kubaki madarakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Kalamu1 uko sahihi mana tumekutana awali nikikosoa utendaji wa serikali.

Kwa bahati mbaya kuna watu humu wanachukulia kukosoa kuwa sawa na upinzani.
Hivyo wanatetea hata mapungufu yaliyo dhahiri.
Kuonea watu na kuwafunga hata kama ni wapinzani si sahihi.

Naamini Magufuli ni binadamu na hata kama hapendi lakini at least anapata feedback ya yale mambo ambayo kina YES SIR wanampelekea kpitia mitandao hii.
Hii haina maana tuna mchukia au kumpinga kisiasa.
Hili lielekweke wazi.

Pili kati ya mapungufu ya Magufuli ni hulka tu.
Tunajua hapendi kuambiwa amekosea, hayo ni mapungufu.
Ambaye hakosei ni Mungu tu na malaika wake.
Lakini katika kutenda na kusimamia kile anachoamini Magufuli nampa nambari wani.
Wazungu husema "he zeroes in" katika tatizo au mpango wa maendeleo bila kupepesa macho.

Na ndio maana naamini ni vyema Magufuli akamalizia kipindi ingine ch miaka mitano ingalau hii miradi imalizike.

Nakumbushua , kule Zanzibar kuna nymba akizianza Mh Karume baada ya mapinduzi.
Alipofariki 1972 nyuma ambazo hazikuwa zimekailika zilikaa hivyo karibia miaka 40.

Mpeni Magufuli miaka mitano amalize kazi.
Mkuu,Mimi baada ya Mh kuingia madarakani nilipoona tu yupo kimya kwenye suala la kutengeneza katiba itakayo wabana wahujumu uchumi wa Taifa hili nikajisemea moyoni mwangu kuwa hatujapata mtu sahizi.Sahizi yeye ndo Sheria za nchi,sasa najiuliza akijakuachia madaraka itakuwaje? Kiongozi wa watu ni yule atakaye tengeneza katiba ambayo wananchi wanahitaji,haya yote anayoyapinga yawekwe kwenye katiba manake mambo ya kuweka taratibu za nchi kichwani ukija kufa wananchi watapata tabu sanaaaa,sawa baba ambaye haandiki mirathi ya Mali zake baada ya kufa anaachia familia ugomvi mzito.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisha pata umeme wa uhakika bei ya umeme itashuka na viwanda ni lazima vitaongezeka.
Hilo li la dhahiri.
Sasa thamani ya maisha utaikosaje?

Hii porojo tuliisikia wakati wa bomba la gas, tuliambiwa gas ikianza kutumika bei ya umeme itashuka. Tukaambiwa viwanda vitakuwa vya kumwaga, leo hivi yuko kwenye umeme wa maji tulipoambiwa tatizo ni mabadiliko ya tabia nchi. Piga debe kivingine boss, maana umeme huna uhakika wa kushuka bei kwani tumekopa zaidi ya 5t.
 
inawezekana kwa maslahi yako binafsi amekuudhi lakini angalia na upande wa pili miradi ya kitaifa inayotekelezwa katka hii awamu ya 5 ambayo hata wewe na familia yako mtanufaika nayo. TANZANIA FIRST MENGINE KILA MTU APAMBANE NA HALI YAKE TU.

Kwanini tusimtoe yeye akapambane na hali yake? Kwani hiyo miradi anajenga kwa mshahara wake mpaka useme amalizie hiyo miradi?
 
Wewe unataka nani aijenge hiyo miradi ndiyo ufurahi?
 
Back
Top Bottom