MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 27,587
- 30,075
Neno watu wote unaelewa maudhui yake au ufuata upepo tu, lowassa hajawa mtu wakupelekea watu wote wawe na furahalowasa anao wafuasi wengi kupita slaa. slaa alishagombea akashindwa, lowasa apate nafasi ya kwanza kwasababu anao uwezo kuhamasisha, pia ana watu wengi sana. mjini jioni ya leo kila mtu moyo umefurahi na wameshamsahau mzee wa kutudanganya kuwa anao uwezo kuhesabu samaki ziwa victoria na barabara kms,...magufuli amefunikwa kupita maelezo. ccm imekufa kifo cha mende.