Eti dalili mojawapo kwamba Tanzania haijafa (failed state) ni pamoja na Tulia kuchaguliwa kuwa Rais wa IPU?

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
21,498
37,792
Nilidhani nimeona mengi, nimesikia mengi na nimeshuhudia mengi Kwa umri wangu 35+ kumbe bado Nina safari ndefu. Hivi Waliosema kua uyaone walimaanisha ukue Hadi ufikishe miaka mingapi ndo uanze kuyaona hayo waliyotaka tuyaone?
Nimekutana na kioja toka Kwa Profesa mpaka nikasema wazazi wetu zamani hawakututendea haki. Walituaminisha Profesa ni Msomi mkubwa ambaye kazi yake ni kufanya tafiti na kuibua Wasomi wengine. Kwamba Profesa ni incubator ya Wasomi. Ni tanuri la kufua watu watoke wakiwa pure bila purities.
Au hao Maprofesa tuliohadithiwa wako Nchi za dunia ya Kwanza na ya pili huku dunia Nyeusi kuna Mapropesa?
Kweli Propesa wetu ambaye Wasomi wengi wamepita mikononi mwake anatuaminisha dalili kubwa yaa mafanikio ya Nchi kimaendeleo ni Tulia kuwa Rais wa IPU?
Yaani Tulia kuwa Rais wa IPU kunaonyesha mbele ya mataifa kwamba Tanzania Hakuna Ufisadi, nchi haina madeni yaliyotopea, Wananchi hawako kwenye umasikini?
Kwamba Tulia kuwa Rais wa IPU ni dalili kwamba dunia inatuamini Sana kwamba kwetu Hakuna ufujaji wa fedha za Umma na uchumi wetu ni imara?
Maprofesa tuoneeni huruma Sisi tuliodanganywa na Wazee wetu kwamba nyie mna akili Sana na uwezo wenu wa kuchambua Mambo ni wa kiwango cha juu.
IMG-20231105-WA0001.jpg
 
Jukumu kubwa la Umoja wa Mabunge duniani, IPU ni kusimamia masuala ya haki za kiutumishi za wabunge katika nchi mbalimbali duniani. Haki hizo ni pamoja na mishahara na posho, masuala ya haki za kijinsia kama zinavyoainishwa na azimio la UN, na mengine yafananayo na hayo.
 
Ujinga mtupu, halafu mtu anaandika eti Mbeya msipomchagua Tulia mtakuwa mmepoteza, sasa sijui wanaenda kupoteza nini au wanafaidika vp wanambeya na hizo posho au haki za wabunge.
 
Nilidhani nimeona mengi, nimesikia mengi na nimeshuhudia mengi Kwa umri wangu 35+ kumbe bado Nina safari ndefu. Hivi Waliosema kua uyaone walimaanisha ukue Hadi ufikishe miaka mingapi ndo uanze kuyaona hayo waliyotaka tuyaone?
Nimekutana na kioja toka Kwa Profesa mpaka nikasema wazazi wetu zamani hawakututendea haki. Walituaminisha Profesa ni Msomi mkubwa ambaye kazi yake ni kufanya tafiti na kuibua Wasomi wengine. Kwamba Profesa ni incubator ya Wasomi. Ni tanuri la kufua watu watoke wakiwa pure bila purities.
Au hao Maprofesa tuliohadithiwa wako Nchi za dunia ya Kwanza na ya pili huku dunia Nyeusi kuna Mapropesa?
Kweli Propesa wetu ambaye Wasomi wengi wamepita mikononi mwake anatuaminisha dalili kubwa yaa mafanikio ya Nchi kimaendeleo ni Tulia kuwa Rais wa IPU?
Yaani Tulia kuwa Rais wa IPU kunaonyesha mbele ya mataifa kwamba Tanzania Hakuna Ufisadi, nchi haina madeni yaliyotopea, Wananchi hawako kwenye umasikini?
Kwamba Tulia kuwa Rais wa IPU ni dalili kwamba dunia inatuamini Sana kwamba kwetu Hakuna ufujaji wa fedha za Umma na uchumi wetu ni imara?
Maprofesa tuoneeni huruma Sisi tuliodanganywa na Wazee wetu kwamba nyie mna akili Sana na uwezo wenu wa kuchambua Mambo ni wa kiwango cha juu.View attachment 2804568
Ushindi kati ya Tanzania, Somalia na Senegal?😆😆😆
 
Siku ukionja kupanda V8, utaelewa kwa nini hawa kenge, akili hutupa jalalani, wakishateuliwa, wapo radhi hata kuuza mama zao, ili mradi wapate nafasi serikalini,
 
Nilidhani nimeona mengi, nimesikia mengi na nimeshuhudia mengi Kwa umri wangu 35+ kumbe bado Nina safari ndefu. Hivi Waliosema kua uyaone walimaanisha ukue Hadi ufikishe miaka mingapi ndo uanze kuyaona hayo waliyotaka tuyaone?
Nimekutana na kioja toka Kwa Profesa mpaka nikasema wazazi wetu zamani hawakututendea haki. Walituaminisha Profesa ni Msomi mkubwa ambaye kazi yake ni kufanya tafiti na kuibua Wasomi wengine. Kwamba Profesa ni incubator ya Wasomi. Ni tanuri la kufua watu watoke wakiwa pure bila purities.
Au hao Maprofesa tuliohadithiwa wako Nchi za dunia ya Kwanza na ya pili huku dunia Nyeusi kuna Mapropesa?
Kweli Propesa wetu ambaye Wasomi wengi wamepita mikononi mwake anatuaminisha dalili kubwa yaa mafanikio ya Nchi kimaendeleo ni Tulia kuwa Rais wa IPU?
Yaani Tulia kuwa Rais wa IPU kunaonyesha mbele ya mataifa kwamba Tanzania Hakuna Ufisadi, nchi haina madeni yaliyotopea, Wananchi hawako kwenye umasikini?
Kwamba Tulia kuwa Rais wa IPU ni dalili kwamba dunia inatuamini Sana kwamba kwetu Hakuna ufujaji wa fedha za Umma na uchumi wetu ni imara?
Maprofesa tuoneeni huruma Sisi tuliodanganywa na Wazee wetu kwamba nyie mna akili Sana na uwezo wenu wa kuchambua Mambo ni wa kiwango cha juu.View attachment 2804568
Ndo shida ya mwanaume kusoma sosholojia.
 
Wanachuo mliofundishwa na Prof Kitilya Mkumbo jipimeni kwa kufanya tena mtihani wa form four wa somo lake.
Msije jidhania mme elimika kumbe mmeondolewa ufahamu kichwani na kubaki weupe upstairs.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Propesa Mkumbo Kama jina lake linavyoakisi ni Mkumbo kumbo tu… Halafu huyu ndio alikuwa huko Udsm Kwa wa so called wasomi hadi wa mambo mpaka ya Jalalani.
Nimeanza kupata wasiwasi na wasomi hawa toka Singida, kuanzia Nchemba na sasa huyu… kuna namna , labda madhara ya lishe ya utotoni yanahusika… Jana mwenzake kasema “ naaminiwa” na huyu Naye anasema “ uraisi wa IPU” sio failed state Wakati washindani ni Somalia hata kanjibabai hakuwemo… Da safari bado ndefu…
 
Nilidhani nimeona mengi, nimesikia mengi na nimeshuhudia mengi Kwa umri wangu 35+ kumbe bado Nina safari ndefu. Hivi Waliosema kua uyaone walimaanisha ukue Hadi ufikishe miaka mingapi ndo uanze kuyaona hayo waliyotaka tuyaone?
Nimekutana na kioja toka Kwa Profesa mpaka nikasema wazazi wetu zamani hawakututendea haki. Walituaminisha Profesa ni Msomi mkubwa ambaye kazi yake ni kufanya tafiti na kuibua Wasomi wengine. Kwamba Profesa ni incubator ya Wasomi. Ni tanuri la kufua watu watoke wakiwa pure bila purities.
Au hao Maprofesa tuliohadithiwa wako Nchi za dunia ya Kwanza na ya pili huku dunia Nyeusi kuna Mapropesa?
Kweli Propesa wetu ambaye Wasomi wengi wamepita mikononi mwake anatuaminisha dalili kubwa yaa mafanikio ya Nchi kimaendeleo ni Tulia kuwa Rais wa IPU?
Yaani Tulia kuwa Rais wa IPU kunaonyesha mbele ya mataifa kwamba Tanzania Hakuna Ufisadi, nchi haina madeni yaliyotopea, Wananchi hawako kwenye umasikini?
Kwamba Tulia kuwa Rais wa IPU ni dalili kwamba dunia inatuamini Sana kwamba kwetu Hakuna ufujaji wa fedha za Umma na uchumi wetu ni imara?
Maprofesa tuoneeni huruma Sisi tuliodanganywa na Wazee wetu kwamba nyie mna akili Sana na uwezo wenu wa kuchambua Mambo ni wa kiwango cha juu.View attachment 2804568
Nchi inaelekea kufa kwa sababu kama hii hapa chini, kwamba hata baada ya miaka zaidi ya 60 ya uhuru kuna wananchi bado hawawezi kupata maji safi ya kunywa...
1699195535328.png
 
Back
Top Bottom