Hali ya umeme, kukatika kila saa imeendelea kuwa tatizo gumu na mfupa mgumu katika wilaya ya Tunduru, mkoani Ruvuma licha ya, Serikali juzi kutangaza kuwasha mtambo no 9 na kuweka megawatt 235 katika gridi ya Taifa.
Baadhi ya, wakaazi wa Tunduru wameonyesha wasiwasi wao mkubwa kwa shirika la umeme wilaya Tunduru, kuwa uenda wanafanya hujuma kubwa kwa serikali ya Dkt. Samia.
Jana usiku tumelala bila umeme, kutoka saa, nne usiku mpaka asub, na sababu zao wanazotoa ni kwamba nguzo zimeanguka.
Hii siyo sawa kabisa. Alisema mkazi huyo. Wakaazi hao wamemwomba naibu wazir mkuu na wazir wa, nishati kuchukua hatua kali kwa hawa wafanyakaz wazembe, wanaoiangusha serikali ya Dkt. Samia.
Uchunguzi uliofanywa na mwandishi wa habari hii umedhibitisha kuwa, mikoa yote ya Tanzania na wilaya zake kwa sasa tatizo la umeme limekwisha.