Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,415
Wewe ni mjinga! Rais anataka badala ya hela nyingi hivyo kwenda kwenye pango badala yake wajenge majengo yao au wapange kwenye majengo ya selikali ili hizo hela ziende zikafanye mambo mengine ya kiselikali.Sikuwahi kusikia JK akiagiza serikali isipange nyumba sector binafsi, hili agizo la juzi ndani ya mwezi wahame!? Sijui hizo nyumba ni za Wageni ama Watanzania. Mbali ya ofisi watumishi wangapi wanapanga makazi binafsi!? Kwanini chuki na sector binafsi!? Hata kandarasi za ndani , wajenzi mbali ya bei elekezi miradi bado hawalipwi kwa wakati.Hii roho mbaya inadumaza taifa,ile dhana ya "multiplier effect " nadhani amekariri msemo pekee.
Ikinyesha mvua wanalia, likiwaka jua wanapiga mayowe!Nyie ndio mliyekua mkisema Kikwete ni Rais dhaifu haijawai tokea. Ata mlisahau uo uhuru wakuongea mliokuanao, mlivuka mipaka ya Matusi na dharau. Nchi ilifunga na kuomba kumpata JPM.ila kwasasa mmekuja na swaga zingine.
Wewe ndiyo mjinga, usibishane kitu ambacho hukijui. Serikali makini haipaswi kufanya biashara, ila inakuwa kuweka mazingira bora na kusimamia biashara. Serikali inapifanya biashara inasimamisha Mzunguko wa fedha hauwahusishi wananchi. Jeshi linapojenga nyumba za Magereza linapunguza Mzunguko wa hela.Wewe ni mjinga! Rais anataka badala ya hela nyingi hivyo kwenda kwenye pango badala yake wajenge majengo yao au wapange kwenye majengo ya selikali ili hizo hela ziende zikafanye mambo mengine ya kiselikali.
Nyie ndio mliyekua mkisema Kikwete ni Rais dhaifu haijawai tokea. Ata mlisahau uo uhuru wakuongea mliokuanao, mlivuka mipaka ya Matusi na dharau. Nchi ilifunga na kuomba kumpata JPM.ila kwasasa mmekuja na swaga zingine.
Wewe ni mjinga! Rais anataka badala ya hela nyingi hivyo kwenda kwenye pango badala yake wajenge majengo yao au wapange kwenye majengo ya selikali ili hizo hela ziende zikafanye mambo mengine ya kiselikali.
Kaka Bujibuji unamaanisha kwamba kipindi hiki cha magufuli hakuna matumizi mabaya ya fedha za ummaKikwete alikuwa bora zaidi kwenye social issues, sherehe, Musiba, burudani na safari za nje.
Kulikuwa na ubadhirifu makubwa sana kipindi cha mtawala wake, alihalalisha matumizi mabaya ya fedha za umma
Wa sasa ni coward. Anaogopa upinzani kama tetekuwanga!!Sikuwahi kusikia JK akiagiza serikali isipange nyumba sector binafsi, hili agizo la juzi ndani ya mwezi wahame!? Sijui hizo nyumba ni za Wageni ama Watanzania. Mbali ya ofisi watumishi wangapi wanapanga makazi binafsi!? Kwanini chuki na sector binafsi!? Hata kandarasi za ndani , wajenzi mbali ya bei elekezi miradi bado hawalipwi kwa wakati.Hii roho mbaya inadumaza taifa,ile dhana ya "multiplier effect " nadhani amekariri msemo pekee.
Watanzania sifa moja wapo kubwa tunayo ni unafiki mkuu.Nyie ndio mliyekua mkisema Kikwete ni Rais dhaifu haijawai tokea. Ata mlisahau uo uhuru wakuongea mliokuanao, mlivuka mipaka ya Matusi na dharau. Nchi ilifunga na kuomba kumpata JPM.ila kwasasa mmekuja na swaga zingine.
Hahaaaaa.........Wa sasa ni coward. Anaogopa upinzani kama tetekuwanga!!
Wewe ni boya mmoja tu, eti nchi ilifunga ili kumpata JPM baada ya kumpata kafanyaje?Nyie ndio mliyekua mkisema Kikwete ni Rais dhaifu haijawai tokea. Ata mlisahau uo uhuru wakuongea mliokuanao, mlivuka mipaka ya Matusi na dharau. Nchi ilifunga na kuomba kumpata JPM.ila kwasasa mmekuja na swaga zingine.