Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
Ndugu zangu,
Mara baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wafuasi wa Chadema walimiminika wakitoa ushauri mbalimbali huku wakipendekeza majina ya wana-CCM ambao wao wanataka wangeunda Serikali ya CCM.
Walienda mbali zaidi kutaka Rais avunje baraza la mawaziri.
Rais Samia Hassan kafanya yake bila hata kuzingatia ushauri wa makada hawa wa CCM waliopo Chadema.
Je, bado CHADEMA wataendelea kupiga mapambio?