LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 11,788
- 15,407
Chadema walitoa Hadi waraka wa kutaka baraza la mawaziri livunjwe, Ila mama kakaza.

Na wew mjane mbona umepuzwa?Ndugu zangu,
Mara baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wafuasi wa Chadema walimiminika wakitoa ushauri mbalimbali huku wakipendekeza majina ya wana-CCM ambao wao wanataka wangeunda Serikali ya CCM.
Walienda mbali zaidi kutaka Rais avunje baraza la mawaziri.
Rais Samia Hassan kafanya yake bila hata kuzingatia ushauri wa makada hawa wa CCM waliopo Chadema.
Je bado Chadema wataendelea kupiga mapambio?
Chadema haikumtaka mama avunje baraza la mawaziri bali katiba iliyomuweka yeye madarakani ndio iliyomtaka avunje barazaNdugu zangu,