Pamoja na kwamba mimi ni mwana CCM mzuri lakini haya siyaafiki

Mimi ni Mwanaccm nisiye kubaliana na mgawanyo wa aina yoyote ile katika mazingira ya usawa (yaani pasu kwa pasu) kati ya watu milioni zaidi ya 50 dhidi ya watu milioni mbili kasoro, kwa kisingizio cha Muungano!
Mh Kessy wa Nkasi alisema zenji ukipiga filimbi wote wanakusanyika faster
 
Hongera sana komredi mwenzangu.

Nilishayaona hayo kwa upande wangu tangu awali.

Unyama wanaofanyiwa wanasiasa wa upinzani ni mkubwa.

Siamini kwenye siasa hasi ambazo sisi CCM tumeziasisi.

Tumefanya sana ibada za sanamu za kumtukuza ba kumuabudu mtu badala ya Mungu.
 
Nasikia Paka ndio mnyama mnafiki kuliko wote. Anajenga urafiki pale anapoona kuna msosi mezani. Ukiisha anasogea kwa mwingine. W

Ukiangalia sana hawa wana siasa wa Tanzania, wamejaa maslahi binafsi. Bora Mbowe na TL wanaeleweka wana simamia wapi
 
Wewe umejitambua tuungane sasa tupate katiba mpya, na Musiba anatumika kama toilet paper kwa malipo ya unga na maharage
 
Mbona hatukuwasikia akina Butiku wakinena neno wakati wa Enzi za Mwendazake? Afadhali hata HK nilikuwa naona ana twit japo kwa tahadhari kubwa!
 
Kama ni kweli hayo unayaamini kwa moyo wako wote, basi wewe ni miongoni mwa wnaccm wachache ambao hawajaonja unga wa ndere. Siku ukiuonja hutayaamini hayo kabisa.
KIGUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!
 
Ben saanane wanalia hawajui alipo,
Ni kweli kabisa inasikitisha sana. Kama wazazi lazima linawahuzunisha mpaka sasa. Nawapa pole kwa huzuni hiyo.

Hata hivyo, inashangaza sana, tena sana , mwana CCM mzuri tu kutokusikitishwa na mauaji ya viongozi wa serikali na wale wanachama na viongozi wa CCM mkoa wa Pwani kule maeneo ya Rufiji. Ilifika hadi askari wetu waliuawa kule. Hii inati mashaka sana.

Mimi binafsi sitaki kuamini kama yawezekana na wewe ulikuwa unahusika kuonyesha kutofurahishwa kwako na namna nchi ilivyokuwa inaendeshwa wakati huo, hivyo kwa namna fulani na wewe labda ulikuwa unashiriki vitendo hivyo viovu. Na sisitiza labda wewe binafsi mleta mada. Neno labda lipewe uzito wake linalostahili.
 
Umekipenda mwenyewe, aacha uisome naamba eheeee, Ili uende mbele kwambele
 
kawai
Mbona hauna sifa hata moja ya UCCM...
Ni kawaida tu hata mke anaweza asimpende mume akavumilia tu asiombe talaka. CCM kuna watu wengi tu waadiliu na hawapwndi kuone lakini walibatizwa kwa moto na chapa isiyofutika.
 
Ukipewa nafasi utakuta haya unayoyasema sio utakayoyatenda kwa kuwa kila binadamu unayetaka afanye unavyotaka hatofanya na utajikuta umefanya tofauti na unavyo ongea hapa.

Binadamu sio kama unavyojifahamu wewe bali kila mtu na mawazo yake.
 
Acha kuropoka, humjui huyu, wewe umejiunga JF juzi juzi acha kubishana na huyu jamaa! Hawa ndio CCM, tafuta thread yake alivyoeleza jinsi CCM walivyoiba Kura na alikua part of the game
Acha upumbavu kujuinga JF mapema ndio kigezo cha kuwa anaijua sana CCM ,kwani wanasccm wote wapo JF ,kina mzee warioba na kingunge wapo humu?

Kwanza nikusaidie kilaza wewe nipo JF miaka mingi saa na I'd nyingi sana

Mwanaccm aliyehadithia eti yeye na mmewake walivyoiba kura kujivalisha uhusika tu hata ile ishu ya Dk shika ni usanii tu hakuna lolote

USSR
 
USSR Mimi ni CCM kabisaaa ila huwezi Ona Kama mimi ni CCM kwakuwa wewe unapenda Wenye fikra finyu haya jikumbushe hapa
Mwenye fikra kuu anakifua ,anajua nini aseme na wapi sio kidampa kama wewe aliyeahidi kuachana na siasa sijui unawashwa nini sasa

USSR
 
Tangu nimeanza kufuatilia makala zako sikuwahi kujua kama wewe ni chama dola , lakini nilikuwa mabosi kuwa utakuwa chama dola kwani maandiko yako yalikuwa katikati wakati mwingine yalikuwa 🔥🔥kwa. Wapizani na kea watawala pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…