EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,518
Mh Kessy wa Nkasi alisema zenji ukipiga filimbi wote wanakusanyika fasterMimi ni Mwanaccm nisiye kubaliana na mgawanyo wa aina yoyote ile katika mazingira ya usawa (yaani pasu kwa pasu) kati ya watu milioni zaidi ya 50 dhidi ya watu milioni mbili kasoro, kwa kisingizio cha Muungano!