Pamekaaje hapa?

Pamekaaje hapa?

Lyambasa

Senior Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
153
Reaction score
43
Mwanaume akiwa malaya hadhi ya utu wake inaweza isishuke.Mwanamke akiwa kahaba ni balaa tupu.Mwanamke akiwa masikini hatusemi.Mwanaume akifulia oh balaa.Wadau pamekaaje hapa?
 
Siku hizi Malaya Malaya tu, awe mwanamke au mwanaume. Sana sana umalaya wa mwanaume utafukiwa Kama Ana pesa za kuhonga, lkn pembeni atasemwa kuhusu umalaya wake. Mkuu Siku hizi watu wanajiuliza "tuko wangapi"
 
Pamekaa vyema. Mwanaume pesa. Mwanamke shape na sura.
 
Kuna usawa kwenye ngoma, iwe umeitwa malaya au dume la mbegu.
 
hapa umenena kama wanaume si wamalaya basi maambukizi ya ukimwi yasingewahusu. mungu habagui sisi wanadamu ndio tunabagua.
Kuna usawa kwenye ngoma, iwe umeitwa malaya au dume la mbegu.
 
Mwanaume akiwa malaya hadhi ya utu wake inaweza isishuke.Mwanamke akiwa kahaba ni balaa tupu.Mwanamke akiwa masikini hatusemi.Mwanaume akifulia oh balaa.Wadau pamekaaje hapa?

vururuvururu tu jitume sana..
 
Back
Top Bottom