Pamekaaje hapa? Naomba ushauri

Pamekaaje hapa? Naomba ushauri

Sim Card

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2019
Posts
881
Reaction score
1,606
Mahitaji Muhimu:

1. Hakikisha mwanao amekamilisha mchango wa chakula kwa mhula wa Kwanza. Hatutatoa nafasi ya hosteli kwa yeyote mwenye madeni ya nyuma ya chakula kwani hatuna chakula kabisa.

2. Mhula wa pili utaanza tarehe 29/08/2020 Hadi tarehe 18/12/2020. Wazazi wote wa hosteli mhakikishe mmewalipia watoto fedha ya chakula Tsh.230,000/= ya mhula wa pili wa masomo. Mkumbuke hatutakuwa na likizo Hadi Desemba kufidia siku zote za masomo.
Nina ukakasi kuna ishu ya chakula hapa wanafunzi walikuwa majumbani tangu mwezi wa tatu.Nani kamaliza chakula??

Au ni mpango wa kupiga hela?
 
Waziri wa alimu alisema "busara itumike". Kwangu mimi hii nimetafsiri kama hata yeye amekosa jibu sahihi na ndio sababu hajatoa muongozo kwenye hili.

Sasa mimi kama mzazi nilicho amuani, hiyo tarehe 28 wanangu wataenda shuleni ili tarehe 29 aanze kuendelea na masomo.
Hili kwangu nadhani ninapaswa kupima thamani ya pesa na elimu bora kwa wanangu, mwisho nimeona hili ni swala la kimaamuzi ama kusuka au kunyoa.
 
Back
Top Bottom