Pambana

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
8,379
12,574
Kama unamatatizo na unaona aibu kusema kwa Ndugu yako na kumueleza ukweli, jua basi huna matatizo wewe, hujakutwa na Matatizo bado.
 
Mi nasikia Kwa watuback kuwa ndoa yake inaelekea kiblaaaa....migogoro ya hapa na pale Ila hajawahi niambia lolotee....itakuwa Hana matatizoo
 
Matatizo mengine mengi husababishwa na ndugu haohao tena
kwa kiwango cha kutaka kukuondoa uhai! Sasa sijui unamaanisha ndugu aina gani?
 
Mi nasikia Kwa watuback kuwa ndoa yake inaelekea kiblaaaa....migogoro ya hapa na pale Ila hajawahi niambia lolotee....itakuwa Hana matatizoo
Hana matatizo huyo, acha apambane na hali yake
 
Matatizo mengine mengi husababishwa na ndugu haohao tena
kwa kiwango cha kutaka kukuondoa uhai! Sasa sijui unamaanisha ndugu aina gani?
Ndugu ni mtu yeyote ambae unaukaribu nae na mnasikilizana kwa mazuri, kazi (utafutaji) na hata katika shida.
 
Back
Top Bottom