Pamba sh 1200/kg; Asante Magufuli

Are you sure? Ile ilikuwa vita bwana
 
Mbona mnakasirika anapoombewa. Mnataka asiombewe Hili afeli siyo
 
Mungu akiamua hata taifa lifunge siku 40 unachomoka tu kwani gadafi alikuwa hapendwi ushamba unao ww kubabaika tawala za kidunia labda kama ana matatizo ni sahihi kumuombea vinginevyo anatekeleza majukumu yake hakuna mtu special.
Mtu na akili zako unaacha kuombea matatizo yako unaanza kumuombea mtu ambaye huenda hata siyo ndugu yako kweli?
 
Bei ya pamba inaweza kua hata elfu 3.

Tatizo liko kwa walanguzi na watu wa katikati.

Watu waliokua wamezoea kuishi kimagumashi na kiwizi wizi watafte kazi nyingine

Magufuri tunyooshe baba.
Da tena siku hizi idadi ya madalali imeongezea karibu bihashara nyingi
 
Wajinga nchi hii hawataisha, bei ya pamba kuwa 1,200 siyo dili, je mfuko wa bei ukoje? Kikwete wakati anaingia madarakani (2005)bei ya pamba ilikuwa shilingi ngapi na wakati anaondoka (2015)ameacha ni shilingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…