Pamba gari yako na Muba sound

Pamba gari yako na Muba sound

shukran sana kwa mnaotuunga mkono endeleeni kumiminika kama mnavyokujaga
 
Nina toyota issis ina siti saba siti cover jumla itakuwa beigani??na alarm system nzuri kabisa nibeigani na ainagani wekend hii tuonane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina toyota issis ina siti saba siti cover jumla itakuwa beigani??na alarm system nzuri kabisa nibeigani na ainagani wekend hii tuonane

Sent using Jamii Forums mobile app
Seat cover nyingi nlzonazo zinakaa tano mkuu, ila njoo nakutafutia za issis magal ztakufaa

Kuhusu alarm system zpo za aina mbali mbali

*auto watch hii ipo juu kidogo 350k

*zipo pia tamarak 200k

*autopass 150k

Tofaut za bei ni kutokana na watengenezaj kua tofaut

KARIBU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom