Pamba gari yako na Muba sound

Pamba gari yako na Muba sound

hapana mkuu, sisi sio kama sound wengine

Android radio ya nisan xtrail 2005 ni 450 tu mkuu pamoja na vat

Kama sitaka vat receipt tutagawana iyo vat?maana hamna namna sasa
 
Ki probox changu hakina spika za nyuma, na ninataka kuweka muziki wa mzuri wa kawaida pamoja na spika za nyuma inaweza kuwa gharama gani?
 
spika za nyuma zpo mkuu
mziki mzuri unaazia 170k/200/250 mpaka wa 500 upo mkuu

KARIBU
Ili mziki unoge Happ inabidi na booster, amplifier ifungwe? Na je hivi vina gharama zake ktk huo mziki mzuri was laki 70?
 
Ili mziki unoge Happ inabidi na booster, amplifier ifungwe? Na je hivi vina gharama zake ktk huo mziki mzuri was laki 70?
mziki wa mia 70 una booster yaake ndani kwa ndani, tunaufanyia tu setting pamoha na twita

Aina nyingine ya mziki ina booster za kufunga pembeni/separate, Hizi zinatoa mziki mnene pia
 
Nataka muziki mzuri kwenye daladala yangu niandae kama sh ngapi Kwa kila kitu pamoja na ufundi?
 
mziki wa mia 70 una booster yaake ndani kwa ndani, tunaufanyia tu setting pamoha na twita

Aina nyingine ya mziki ina booster za kufunga pembeni/separate, Hizi zinatoa mziki mnene pia
Nitakutembelea na glanzia yangu soon
 
Sasa sikiliza, habari za vat mimi sizitaki, nnchotaka ni radio ya Android na kuna 300k hapa kama inalipa nicheki mkuu
 
security camera pia tunafunga wadau
 
Back
Top Bottom