Paloma Acha Utani!!!

Last edited by a moderator:


Hahahaa.......mimi napata Chinese fried rice hapa!
 
Kuanzia nibadilishe muonekano, basi kila binti anataka nimuonje, mi wala sio mlipaji mzuri


kiduku chako cha kichwani ndio kinawachanganya............hujajuaga?!?!?
muulize ladyfurahia kila siku ananigongea nimuunganishe kwako - sema ni vile tu nakausha!
 
Last edited by a moderator:
Jamani bestito hivi huyo bondia nitamuweza wapi mie kwani wewe hujui kuwa niko na mdogo wako na siwezi muacha labda yeye aniache?
kiduku chako cha kichwani ndio kinawachanganya............hujajuaga?!?!?
muulize ladyfurahia kila siku ananigongea nimuunganishe kwako - sema ni vile tu nakausha!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…