Mbao na Nguzo za plastiki zinauzwa

Mbao na Nguzo za plastiki zinauzwa

neggirl

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2009
Posts
4,862
Reaction score
2,157
Mbao/ Nguzo za plastiki zinauzwa.

Tupigie: 0757 100012.

Tupo Tegeta - Ndevu

Zinafaa sana kwa utengenezaji wa samani, ujenzi wa uzio, camps za watalii n.k. Haziliwi na wadudu, haziozi, zinadumu muda mrefu sana. Bei zinatofautiana kulingana na size; zinaanzia 18,000 na kuendelea.

IMG_20200327_215311_066.jpg
IMG_20200331_152833_117.jpg
IMG_20200326_163725_682.jpg
IMG_20200316_150014_615.jpg
 
Mbao/ Nguzo za plastiki zinauzwa.

Tupigie: 0757 100012.

Tupo Tegeta - Ndevu

Zinafaa sana kwa utengenezaji wa samani, ujenzi wa uzio, camps za watalii n.k. Haziliwi na wadudu, haziozi, zinadumu muda mrefu sana. Bei zinatofautiana kulingana na size; zinaanzia 18,000 na kuendelea.

Hongera sana kwa Ubunifu Kijana, niliona kazi yenu kupitia kipindi cha Luninga.
Lkn napenda kujua kuhusu Uhimili wa hizo mbao na Moto/ Fire Resistance status yake.
Otherwise Good Idea ... Good Job
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom