qudadekiiii!! halafu hapo una nyimbo laiiiini za akina celine dione na waimbaji wengineo wa slow jam!!!!!
hivi kutakucha kweli????????
The power of kuchomachoma kwako haina maana?
hivi hii kitu itamfanyaje huyu ng'ombe!!!Huogopi hata huyu?
am more than serious serikali haipati kodi kutokana na hicho kilimo kwa sababu mavuno yanafichwaga mnooooo
Kama kipara vile paroko mwenzangu?mi napenda bustani iliyokatwa majani kabisa usawa wa ardhini....apo mimi rahaaa kukaa bustanini
cc 'Valentina'
Kama huu hapa....
Utatamani kesho yake usiende mzigoni ...lol!!!!!!!!!!!
kazi ipo! afu saauuti ya dizaini fulani kama haisikiki vile!?
mnaongea kama hamueleweni vile! babake mtu ataomba poo siku hiyoo!
hivi hii kitu itamfanyaje huyu ng'ombe!!!
Nafichwa wapi, mbona mi Mavuno nikohapa?. sema ulikuwa hauja niita. siunaona nimejitokeza.
Halafu uko na hii kitu hapa
Au hii
Walahi kesho unasema unaumwa ili usiende mzigoni ....lol!!!!!!!!!!!!!
Kuna mate bila mdomo?
Na siunajua mdomo una ndevu?
hivi hii kitu itamfanyaje huyu ng'ombe!!!