Palipo na demokrasia nguvu ya umma haina nafasi

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,315
306
Kutokana na kile ambacho kinachotokea Duniani hivi sasa cha wananchi kuandamana na kutaka viongozi wao waliokaa muda mrefu waondoke madarakani imethibitika viongozi hao kutaka kuondolewa kwao ni kutofuata demokrasia kwenye chaguzi na kutofuata sheria na taratibu za kuendesha nchi.
Kwa hivyo basi, hali ya siasa ya Tanzania ni tofauti sana na nchi hizo kwani chaguzi huru na za haki zinafanyika japokuwa wachache wenye nia na maslahi yao binafsi na wanaotaka ushindi wa mezani hawataki. Utawala bora unaofuata sheria na taratibu za nchi upo japokuwa kuna wachache wanaotaka kutunga na kujiendeshea sheria zao (note: vurugu za Arusha). Kama ni hivyo basi, nguvu ya umma palipo na demokrasia kama Tanzania haina nafasi na wanaofikiria hivyo wanaota ndoto za mchana.
 
Kimsingi demokrasia ni nguvu ya umma. Hivyo pasipo na nguvu ya umma hakuna demokrasia. Tatizo la viongozi wa afrika ni pale wanapokataa nguvu ya umma kwa njia ya sanduku la kura kwa kutumia mbinu chafu ili wabaki madarakani.
 
Nakushukuru Mdau kwa kuliweka wazi hilo la uhusiano wa nguvu ya umma na tawala zenye kufuata utawala wa sheria na kuzingatia misingi ya haki za binadamu, Tanzania ikiwa mojawapo. Inashangaza sana unapoona kwamba hata wasomi wazuri tu, wengine ni wahadhili wa taasisi za elimu ya juu wanashindwa kuelezea ukweli wa kile kinachojili katika mataifa ya Tunisia na Misri. Wanajenga hoja kwa mitizamo yao binafsi pasipo kuzingatia ukweli wa mambo. Kila mtu makini anafahamu kwamba mataifa hayo yamekumbwa na nguvu hiyo ya umma kutokana na tawala za kibabe, tawala zisizoruhusu mawazo mbadala, kwa maana hiyo tawala zisizozingatia demokrasia ya kweli. Sasa, si rahisi kulinganisha tawala hizo na utawala kama wa hapa kwetu Tanzania ambapo ni umma ndio unaamua nani awe mtawala kwa kupitia uchaguzi ulio huru,wazi na haki. Kwa msingi huo itakuwa jambo la kushangaza kwamba, umma huohuo ulioiweka serikali madarakani kwa njia ya kidemokrasia,halafu umma huo huo uingie barabarani kutaka kuuondoa utawala huo huo kwa njia ya maandamano, la hasha, hilo haliwekani hata kidogo. Na kama umma utaona ipo haja ya kufanya hivyo basi utafanya hivyo kwa njia ile ile walioitumia kuuweka utawala madarakani. Na njia hiyo si nyingine bali ni njia ya kidemokrasia kupitia sanduku la kura. Kwa hiyo basi, hakuna haja ya watanzania kuwa na hofu ya kuwepo kwa hali kama hiyo hapa nchini kwa kuwa nchi yetu inafuata misingi thabiti ya kidemokrasia. Najua wako watu wachache pengine kwa sababu na maslahi yao binafsi wangependa sana hali hiyo pia itokee hapa kwetu. Lakini watu hao wajue wazi kwamba sio rahisi kupata uungwaji mkono kutoka kwa umma kwa sababu nilizozifafanua hapo juu.
 
TaahiraBrain AGAIN anakuja na defense mechanism..anasahau kwamba its the matter of time tu kabla ya watz hawajachukua nchi yao kutoka mikononi mwa useless egoistic zombies called CCM
 
:horn:KEEP DREAMING FOR DEMOCRACY YA KUCHAKACHUA KURA THINKING THE TANZANIANS ARE STILL ON THE SAME FOOLISH LEVEL AS YOU ARE TRUE DEMOCRACY IS SOON TO COME. WE HAVE KNOWN THE TRUTH AND THAT TRUTH SHALL SET AS FREE..
"Nyosha kidolee adela, sina nia mbaya ya .......... by mrisho mpoto" Nice dreams.
 
Jana on TBC nilimuona Katibu wa CCM akionglea mambo ya Tunisia na Misri akisema yanatokea kwa sababu wananchi hawatimiziwa matakwa na serikali zao. je tZ wananchi wanatimiziwa matakwa na serikali hii ya CCM na kwamba nguvu ya umma haitachukua nafasi tanzania
 
endelea kuwadanganya hao madicteta wako huo uozo. demokrasia ipi unaongea wewe kibaraka? wacha kabisa kudanganya watu, nyie jipeni tu matumaini kwa kuwadanganya wazungu kwamba uchaguzi wetu ulikuwa wa huru na haki. kumbuka hata masri ilikuwa hivyohivyo mubarak alishinda kwa 95 pacent na wazungu wakampa hongera nyingi, leo wp?
 
Ww siku zote mpingaji huna jipya humu JF ni bora ujitoe kwani waaonyesha ni mchache wa akili
 
endelea kuwadanganya hao madicteta wako huo uozo. demokrasia ipi unaongea wewe kibaraka? wacha kabisa kudanganya watu, nyie jipeni tu matumaini kwa kuwadanganya wazungu kwamba uchaguzi wetu ulikuwa wa huru na haki. kumbuka hata masri ilikuwa hivyohivyo mubarak alishinda kwa 95 pacent na wazungu wakampa hongera nyingi, leo wp?

Ww subiri 2015 bana uchaguzi uliisha kwisha jipange tu upya kwa wa tz hawakuhitaji kwa sasa
 
Jana on TBC nilimuona Katibu wa CCM akionglea mambo ya Tunisia na Misri akisema yanatokea kwa sababu wananchi hawatimiziwa matakwa na serikali zao. je tZ wananchi wanatimiziwa matakwa na serikali hii ya CCM na kwamba nguvu ya umma haitachukua nafasi tanzania

Ndio wanatimiziwa , ww si mmoja wapo huoni ? au wataka vitu vya bure ?
 
:horn:KEEP DREAMING FOR DEMOCRACY YA KUCHAKACHUA KURA THINKING THE TANZANIANS ARE STILL ON THE SAME FOOLISH LEVEL AS YOU ARE TRUE DEMOCRACY IS SOON TO COME. WE HAVE KNOWN THE TRUTH AND THAT TRUTH SHALL SET AS FREE..
"Nyosha kidolee adela, sina nia mbaya ya .......... by mrisho mpoto" Nice dreams.

Kumbe ni mwanafunzi, sina haya ya kubishana na ww. Tizama hii
Join Date : Wed Jan 2011
Posts : 26
Thanks 1 Thanked 2 Times in 2 Posts

Rep Power : 0
 
Kutokana na kile ambacho kinachotokea Duniani hivi sasa cha wananchi kuandamana na kutaka viongozi wao waliokaa muda mrefu waondoke madarakani imethibitika viongozi hao kutaka kuondolewa kwao ni kutofuata demokrasia kwenye chaguzi na kutofuata sheria na taratibu za kuendesha nchi.
Kwa hivyo basi, hali ya siasa ya Tanzania ni tofauti sana na nchi hizo kwani chaguzi huru na za haki zinafanyika japokuwa wachache wenye nia na maslahi yao binafsi na wanaotaka ushindi wa mezani hawataki. Utawala bora unaofuata sheria na taratibu za nchi upo japokuwa kuna wachache wanaotaka kutunga na kujiendeshea sheria zao (note: vurugu za Arusha). Kama ni hivyo basi, nguvu ya umma palipo na demokrasia kama Tanzania haina nafasi na wanaofikiria hivyo wanaota ndoto za mchana.

mbona una hofu sana??

subiri tuendelee kuhesabu siku zenu mkuu.

kila kitu kina mwanzo na mwisho wake bwana we!
 
Wewe ni GeniusBrain au StupiBrain ungependeza zaidi iwapo ungeitwa jina la pili. Unaandika vitu ambavyo Tanzania havipo ukidhani unatupotosha, kaa ukijua unajipotosha mwenyewe. Stupi thread. Najua wewe unafaidika na mfumo kandamizi wa CCM hivyo huwe\zi kuona kama demokrasia inahujumiwa. Nguvu ya Umma Tanzania inahitajika pengine kuliko hata huko Misri ili tuwaondoa majangili wa nchii hii amabo kila Mtanzania anawajua, pengine nawe ni mmoja wao. Mtatoka tu, just a matter of time!
 
<b><font color="purple">Kumbe ni mwanafunzi, sina haya ya kubishana na ww. Tizama hii</font></b></p>
<p><b><font color="purple">Join Date : Wed Jan 2011</font></b></p>
<p><b><font color="purple">Posts : 26</font></b></p>
<p><b><font color="purple">Thanks </font></b><b><font color="purple">1 </font></b><b><font color="purple">Thanked 2 Times in 2 Posts

Jibu hoja wewe acha kuangalia kajiunga lini JF, Ili ndio tatizo la watu wa CCM Mkishindwa hoja mnatafuta visababu vya kijinga vya kuposha ukweli wa mambo, najua mwisho wenu unakuja jiandaeni mapema kabisa.
 
Wewe ni GeniusBrain au StupiBrain ungependeza zaidi iwapo ungeitwa jina la pili. Unaandika vitu ambavyo Tanzania havipo ukidhani unatupotosha, kaa ukijua unajipotosha mwenyewe. Stupi thread. Najua wewe unafaidika na mfumo kandamizi wa CCM hivyo huwe\zi kuona kama demokrasia inahujumiwa. Nguvu ya Umma Tanzania inahitajika pengine kuliko hata huko Misri ili tuwaondoa majangili wa nchii hii amabo kila Mtanzania anawajua, pengine nawe ni mmoja wao. Mtatoka tu, just a matter of time!

Kumbe ni mtoto mdogo hata harufu ya maziwa ya kunyonya haijakutoka, tazama hii ?
Join Date : Fri Jan 2011
Posts : 55
Thanks 0 Thanked 6 Times in 6 Posts

Rep Power : 21
 
Back
Top Bottom